Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzani wa Manga walalamikiwa na wenye magari

MADEREVA wa magari makubwa ya mizigo na ya abiria wamelalamikia mizani iliyopo eneo la Manga, nje kidogo ya mji wa Singida barabara kuu ya Singida - Mwanza kwa madai kuwa ni mbovu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wenye magari washangazwa na madereva

MUUNGANO wa wamiliki wa vyombo vya usafirishaji nchini, umeelezea kushangazwa na tishio la mgomo wa madereva wakati madai yao yote yamekwisha tatuliwa, ikiwa ni pamoja na kuandaliwa mikataba mipya.

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli abana wenye magari Kigamboni

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wamiliki wa magari yanayovushwa na kivuko kati ya Magogoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam, kufikiria uwezekano wa kuzunguka upande wa Kongowe hadi Mbagala na kuingia katikati ya Jiji, lengo likiwa kupunguza msongamano.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC wajitolea kuosha magari kutafuta fedha kupinga ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi

  Baadhi ya mameneja wa matawi ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijitolea kuosha magari ili kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watu wenye ulemavu wa ngoz (albino) na kusaidia juhudi za  kupinga ukatili dhidi yao katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa NBC Kanda ya Dar es Salaam Rachel Mwalukasa na kulia ni Meneja wa Tawi la Sea Cliff, Mariam Kombo. Baadhi ya mameneja wa matawi ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijitolea kuosha...

 

10 years ago

Vijimambo

MIRIAM KINUNDA NA UPISHI WAKE WA UJI WA PILIPILI MANGA


Modern Swahili Recipes For The West, cookbook is now Available at Amazon World-wide. Check Amazon in your country. Also in USA you can get at Walmart and Barnes and Noble Online or ask your nearest store. Now on sale at Amazon USA http://www.amazon.com/dp/0988735903/ Thank you Miriam Kinunda Author of Taste of Tanzania Cookbook

 

9 years ago

Habarileo

Tazara walalamikiwa

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) wameulalamikia uongozi wa mamlaka hiyo upande wa Tanzania kwa kujilipa malimbikizo ya marupurupu ya miezi minne, huku ukijua kuwa watumishi wengine hawajalipwa malimbikizo ya mshahara wa Januari mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Utaratibu Chadema sasa walalamikiwa

Utaratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wa kutaka mwanachama anayehitaji kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kujigharimia mikutano yote ya kujinadi, umewaweka njia panda baadhi ya waliotangaza nia wilayani hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kinondoni walalamikiwa na mawakala wa magazeti

MAWAKALA wa magazeti mbalimbali wamelalamikia kitendo cha kuzuiwa kufanya biashara hiyo ndani ya kituo kipya cha Daladala Simu 2000. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa

Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimeilalamikia Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kwa madai ya kushindwa kukamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR WALALAMIKIWA

Zoezi la upigaji kura lilivyokuwa maeneo ya kituo cha Mapambano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani