Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye magari washangazwa na madereva

MUUNGANO wa wamiliki wa vyombo vya usafirishaji nchini, umeelezea kushangazwa na tishio la mgomo wa madereva wakati madai yao yote yamekwisha tatuliwa, ikiwa ni pamoja na kuandaliwa mikataba mipya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MADEREVA WAHIMIZWA KUTOTUMIA KILEVI WANAPOENDESHA MAGARI

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma,SSP Nuru Selemani akiwakiwaelimisha abiria ndani ya basi lilofanya safari zake mikoani ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya”Wait to Send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote wakitumia vyombo vya moto.Kampeni hiyo inadhaminiwa na Vodacom Tanzania.Askari wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma SGT. Tunu Kuta(kulia) akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda...

 

10 years ago

Bongo5

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]

 

11 years ago

Habarileo

Mzani wa Manga walalamikiwa na wenye magari

MADEREVA wa magari makubwa ya mizigo na ya abiria wamelalamikia mizani iliyopo eneo la Manga, nje kidogo ya mji wa Singida barabara kuu ya Singida - Mwanza kwa madai kuwa ni mbovu.

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli abana wenye magari Kigamboni

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wamiliki wa magari yanayovushwa na kivuko kati ya Magogoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam, kufikiria uwezekano wa kuzunguka upande wa Kongowe hadi Mbagala na kuingia katikati ya Jiji, lengo likiwa kupunguza msongamano.

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: madereva wa mabasi wayasusa magari yao mkoani Singida jioni hii

Madereva wa Mabasi yanayokwenda katika mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Kagera jioni hii wameingia kwenye mgomo wa kutosafirisha abiria wakiwa mkoani Singida, kwa madai kwamba wanatozwa faini kubwa sana na Askari wa Usalama barabarani mkoani hapo.Baadhi ya abiria wanaosafiri na mabasi hayo wameulalamikia uamuzi wa madereva hao, kwani ni kama wanapewa adabu kwa uamuzi huo.Globu ya jamii inaendelea kufatilia sakata hilo kwa ukaribu zaidi na tutaendelea kufahamishana zaidi.

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AITAKA SERIKALI KURAHISISHA UTOAJI WA LESENI KWA WAFANYABIASHARA,MADEREVA WA MAGARI NA BODABODA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua rasmi Chanjo ya  watoto kuzuia maambukizi ya magonjwa katika kata ya Nyakisasa kijiji cha Kashinga akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani Ngara mkoani Kagera,lengo la ziara hiyo likiwani ni kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na ktibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na viongozi mbalimbali wa CCM  kutoka mkoa wa Kagera. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: “Serikali yafuta vikwazo vyote kwa Madereva Nchini..magari yaanza safari muda huu

waziri KabakaWaziri wa Kazi na Ajira nchini, Gaudensia Kabaka akiongea na madereva kwa kutumia kipaza sauti mapema mchana huu na kufuta baadhi ya vikwazo walivyokuwa wakivipinga madereva.

..Mgomo wadumu masaa 9..abiria waonja shubiri ya mabomu ya machozi ..Kamanda Kova, Waziri Kabaka ‘Mashujaa’ wamaliza mgomo ‘kiana’ Madereva wawasubiri Aprili 18

Andrew Chale wa Modewji blog

Hali ya mambo katika ‘segere’ la Madereva Nchini la kuweka mgomo baridi la kutoingia barabarani hadi hapo madai yao ya msingi...

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC wajitolea kuosha magari kutafuta fedha kupinga ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi

  Baadhi ya mameneja wa matawi ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijitolea kuosha magari ili kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watu wenye ulemavu wa ngoz (albino) na kusaidia juhudi za  kupinga ukatili dhidi yao katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa NBC Kanda ya Dar es Salaam Rachel Mwalukasa na kulia ni Meneja wa Tawi la Sea Cliff, Mariam Kombo. Baadhi ya mameneja wa matawi ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijitolea kuosha...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Mwakwembe azindua magari 54 ya Chama cha Madereva taxi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)

Waziri Mwakyembe, Mkurugenzi wa kiwanja cha JNIA, Bw. Moses Malaki (katikati)na Katibu wa Chama cha Madereva taxi, Antipas George Missana ( wa pili kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa sehemu ya magari 54 yenye thamani ya sh. milioni 840 yaliyonunuliwa na Chama cha Madereva taxi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa mkopo kutoka Equity Bank kuboresha usafiri. Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na wanachama wa Chama cha Ushirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani