Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZAZI UMEHARIBIKA, UTAMNYOOSHA VIPI MTOTO?

Jamani mbona tunajisahau na kuamini kabisa kinachotokea leo tunaonewa. Mzazi jamani anazungumza mpaka mdomo unataka kupasuka lakini mtoto ndiyo kwanza kama katiwa moto anaambiwa afanye. Juzi nimemkuta mama mtu mzima akitokwa na machozi baada ya mabinti zake kushindwa kumsikiliza kila alilokuwa akiwaambia, lilikuwa likipitia kulia na kutokea kushoto.Nilipofika aliniomba nimsaidie kuwaeleza wanaye ili wamwelewe. Ni kweli hii ndiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto ajeruhi mzazi kwa panga

MKAZI wa kijiji cha Ndala, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Andondile Mwasamlagila (50) amenusulika kufa baada ya kucharangwa na mapanga na mtoto wake, Yuda Mwasamlagila kutokana na ulevi wa kupindukia....

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa,Jacob Mwaruanda.
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia majeraha bila kutibiwa wala kula chakula.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, mama aliyefanya ukatili huo (jina linahifadhiwa) ni mkazi wa mtaa wa Eden, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani hapa.

Inadaiwa mama huyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzazi unamwitaje mtoto wako panya, mjusi, paka?

Unashtuka? Kuna mtu anaitwa Panya Mjusi. Panya ni jina lake na Mjusi ni la baba yake. Kwa miaka zaidi ya 20 sasa ameendelea kutumia majina hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzazi utarajie nini kwa mtoto baada ya kujifunza?

Lengo kuu la kumpeleka mtoto shule ni kujifunza. Katika kujifunza huko wazazi, walezi na jamii kwa jumla tunatarajia mabadiliko chanya kwa mtoto ambayo yanajengwa na uelewa na maarifa anayoyapata mtoto kutokana na kujifunza huko.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka 13 anusurika kuchinjwa na baba yake mzazi

Mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Majengo, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga amelazwa katika Hospitali ya wilaya baada ya kunusurika kifo kutokana na jaribio la kuchinjwa na baba yake mzazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzazi afanye haya ili mtoto apate matokeo mazuri

Hivi karibuni Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne. Kwa mujibu ya matokeo hayo, ufaulu umeongezeka tofauti na mwaka jana.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi auawa akiokoa mtoto asiuawe na baba yake mzazi

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime.
Askari Polisi PC Joseph Swai, ameuawa wakati akimwokoa mtoto wa miezi minane, aliyekuwa akiteswa na baba yake mzazi katika mtaa wa Chang'ombe Juu mjini hapa.

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alisema tukio hilo lilitokea jana saa 5:00 asubuhi na kumtaja mtoto aliyekuwa anateswa kuwa ni Valerian Mallya.

Alisema awali, polisi huyo alipigiwa simu na Mtendaji wa mtaa wa Chang'ombe Juu, akimjulisha kuwa amepokea taarifa kutoka kwa Oliva...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano apatikana akiendesha gari la mzazi wake Utah

Akiwa na dola 3 mfukoni mwake, mvulana huyo kutok aeneo la Utah alikuwa anaelekea California kununua gari aina ya Lamborghini.

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown na mzazi mwenzie waweka tofauti pembeni kumlea pamoja mtoto wao Royalty

Chris Brown na mzazi mwenzie, Nia Guzman wamemaliza tofauti zao ili kushirikiana pamoja kumlea mtoto wao, Royalty mwenye umri wa mwaka mmoja. Vyanzo vilivyo karibu na Chris na Nia vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wawili hao hivi karibuni walikubaliana kumlea mtoto wao kwa amani. Wameamua kumpeleka pamoja kwenye mazoezi ya kuogelea, shuleni na michezo mbalimbali. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani