Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee wa miaka sabini amwingilia mtoto kimwili Arusha

Mzee anayekadiliwa kuwa na miaka sabini  mkazi  wa eneo la Unga limited mkoani Arusha anatuhumiwa  kumfanyia vitendo vichafu mtoto  mwenye umri wa miaka kumi  kwa kumwingilia kimwili kwa kipindi kirefu  na kumtishia kumuua endapo atatoa siri hiyo.

Mzee  huyo ambaye ni baba wa kufikia  wa mtoto aliyetendewa kitendo hicho  anadaiwa kusababisha  mtoto huyo kuacha shule na kumkabidhi majukumu mengine ya nyumbani.

 

Kwa mujibu wa maelezo ya majirani ni kwamba ,kabla ya kubainika kwa kitendo hicho...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mzee wa miaka 55 aoa mtoto

MWANAMUME mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa Kitongoji cha Nyamakokoto mjini Bunda, Joseph Nyanda amefikishwa mahakamani akidaiwa kubaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka 12 na kumgeuza mkewe.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LAFANIKIWA KUZIMA TUKIO LA KUOZESHWA MTOTO WA MIAKA 12

Na.Vero Ignatus.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa kuzima tukio la kuozeshwa kwa mtoto wa miaka 12 ambapo tukio hilo limetokea Kata ya Msa wilaya ya Arumeru ambapo wazazi wake walitaka kumuozesha kwa mwanume huyo kwa tamaa ya mahari na mifugo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Jonathan Shana amesema hivi karibuni kumeibuka wimbi hususani watu wenye tamaa ya mahari kutumia kipindi hiki ambacho wanafunzi wa shule za msingi na sekondari waliopo likizo kutokana na ugonjwa wa corona...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

 Untitled

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).

Untitled 1

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.

2 (2)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).

3

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...

 

11 years ago

Dewji Blog

INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4

DSC01716mtotot

Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.

MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane

Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.

 

10 years ago

Habarileo

'Mtoto wa miaka 10 ana mtoto'

WIMBI la watoto wenye umri chini ya miaka 18 kupata ujauzito limetajwa kuhatarisha uhai wa mama na mtoto wakati wa kujifungua suala ambalo serikali na wadau wengine wameomba kuendelea kuelimisha jamii kudhibiti mimba za utotoni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni nini maana ya shughuli za kimwili?

WIKI iliyopita makala ililenga sababu na faida  za mazoezi na hatari ya kukaa bila zoezi au maisha ya kutojishughulisha. Makala ya wiki hii tutajadili nini maana ya shughuli za kimwili ...

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi aeleza alivyoingiliwa kimwili na mganga

SHAHIDI wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga huyo kwa madai kwamba atampatia dawa ya kupata mtoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Fistula inavyowaathiri wanawake kimwili, kisaikolojia

Jumamosi iliyopita ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya kuhamasisha mapambano dhidi ya tatizo la fistula duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani