Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzindakaya amwagiwa sifa kwa kubaki mjamaa

MAWAZIRI wakuu wawili wastaafu wamemwagia sifa mwanasiasa mkongwe Chrisant Mzindakaya kwa kuwa muumini mwaminifu wa siasa ya ujamaa aliyebakia nchini. Walimpongeza pia Askofu wa Kanisa Katoliki , Jimbo la Shinyanga , Mhashamu Liberarus Sangu kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo ya juu ambapo leo anatarajiwa kuadhimisha Misa ya shukrani tangu alipoteuliwa kushika wadhifa wake huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mbunge wa Ludewa amwagiwa sifa


NA SHEILA SIMBA, LUDEWA
KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Rachel Kassanda, amempongeza Mbunge  wa Ludewa, Deo Filikunjombe, kwa jitihada za maendeleo zinazofanyika katika jimbo hilo.
Wakati Filikunjombe akipongezwa, kiongozi huyo alimshambulia Diwani wa Kata la Mlangali, Faraja Mlelwa (CHADEMA) kwa kushindwa kushiriki mbio za mwenge katika kata yake.
“Miradi saba yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tatu katika jimbo la Ludewa ambayo mwenge unaipitia ni mikubwa. Ni wazi Filikunjombe...

 

9 years ago

Habarileo

Msipige kura kwa ushabiki - Mzindakaya

MWANASIASA mkongwe nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Chrisant Mzindakaya amewataka Watanzania wasikubali kupiga kura kwa ushabiki. Ameonya kuwa upigaji kura kwa ushabiki, utaligharimu taifa hivyo Watanzania wapige kura wakijua wanachagua kiongozi ambaye atawakilisha nchi kitaifa na kimataifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jela kwa kushindwa kubaki njia kuu

MWALIMU wa Shule ya Msingi Misunkumilo, Kata ya Namanyere, wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, Oswald Kapota (33) amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la kutelekeza familia yake na kwenda kuishi...

 

10 years ago

Michuzi

TUFUNGE MWAKA KWA KUBAKI SALAMA MTANDAONI -

 Mwaka 2014 Umekua Wenye changamoto nyingi sana kwenye upade wa mitandao ambapo wahalifu mtandao walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuitikisa anga ya usalama mitandao duniani kote ambapo walifikia kutamba kuwa wameshinda mapambano na wanausalama mitandao.

Kubwa zaidi ni uelewa mdogo wa watumiaji mtandao juu ya kujiweka salama kimtandao iliyo ambatana na wana usalama mitandao kuwa wachache sana katika ngazi ya kidunia huku baadhi ya mataifa kutotoa kipaumbele katika maswala ya usalama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkwabi Ng’wanakilala: Msomi, mjamaa, mfuasi wa falsafa ya Kiafrika ‘ubuntu’

MIONGONI mwa habari zilizoshtua Watanzania wengi kwa kiwango kikubwa hivi karibuni ni kifo cha mwanahabari mahiri, Nkwabi Ng’wanakilala, kilichotokea jijini Mwanza na baadaye mwili wake ukapelekwa Dar es Salaam kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA BUSEGA, PAUL MZINDAKAYA AKABIDHI POWER TILLER KWA VIKUNDI VINNE WILAYANI HUMO

MKUU wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu Paul Mzindakaya (kushoto ) akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Charles Lukale wakati akikabidhi moja ya Power Tiller kwa vikundi vinne vinavyojishughulisha na kilimo bora wilayani humo ili viweze kuondokana na umasikini kupitia katika sekta ya kilimo. Na Shushu Joel,busega.
MKUU wa Wilaya ya Busega mkoani Simiyu Paul Mzindakaya amevikabidhi Power tTiller vikundi vinne vinavyojishughulisha na kilimo bora wilayani humo ili viweze kuondokana na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal

robert-pires_3068381k

Robert Pires.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.

Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.

“Namjua Wanyama, ni balozi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura

Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]

The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Sifa na Utukufu kwa Mungu - Shukrani kwa Wote! - Ibada ya Kiswahili ~ Columbus, Ohio

Sifa na Utukufu kwa Mungu kwa Baraka za Watoto Kwaya kutoka Uganda waliotembelea Ibada ya Kiswahili 12 Mei 2015. Kipekee tunawashukuru Wanajumuiya wote kwa ushirikiano wako na kushiriki katika Tamasha hili. Mungu akubariki na kubariki huduma yako pia kwa kuwakarimu Watoto na wageni wote ~ Ibada ya Kiswahili ~ Mch. Ipyana Mwakabonga
Watoto Kwaya - Uganda
Watoto Kwaya wakikaribishwa rasmi na Watoto wa Ibada ya Kiswahili - Ohio ( Ian na Suzy) na Uongozi wa Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani