Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzindakaya, DC mstaafu wamtambikia Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaMWANASIASA mkongwe nchini, Chrisant Mzindakaya na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Sumbawanga, Kanali mstaafu Anthony Mzuri ambao ni wazee maarufu mkoani Rukwa, wamemtambikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzindakaya agomea ombi la RC mbele ya Pinda

>Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amekataa hadharani mbele Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ombi la Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya kumsamehe Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hilaly.

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na Rais Mstaafu wa Poland

IMGS8252

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao kati ya ujumbe wa Tanzania na ujumbe wa Poland aulioongozwa na Rais Mstaafu wa nchi hiyo Lech Walesa (kushoto) katika hafla ya utiaji saini  makubaliaono ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea Matrekta kutoka Poland yatakayounganishwa na SUMA JKT hapa nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye  Makao Makuu ya JKT Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS8327

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais mstaafu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU MWALUNYUNGU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru/ Masasi, Magnus Mwalunyungu yaliyofanyia kwenye kanisa la Tosamaganga mkoani Iringa Februari 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Ngalalekumtwa (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru Masasi, Mhashamu Magnus Mwalunyungu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ashiriki mazishi ya Luteni Kanali mstaafu Kitenga

PG4A9643

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kaburini katika mazishi ya  aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, , marehemu, Luteni Kanali Benedict Kitenga  yaliyofanyika kwenye makaburi ya  Kola, Morogoro mjini Aprili 24, 2015.

PG4A9737

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Mama Francisca Kitenga baada ya mazishi ya mumewe, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, , marehemu,Luteni Kanali Benedict Kitenga  yaliyofanyika kwenye makaburi ya  Kola , Morogoro mjini Aprili 24, 2015.

PG4A9764

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AFUNGUA KITUO CHA UTAMADUNI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (katikati) akipata maelekezo toka kwa Mshauri wa Masuala ya Utamaduni toka Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China Bw. GAO...

 

10 years ago

Dewji Blog

IGP Mstaafu Philemoni Mgaya asherehekea miaka 85 ya kuzaliwa kwake huku Waziri Mkuu mstaafu Msuya akiwaasa watanzania

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania  kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania.

Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea , Court Yard jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya wakati wa utumishi wake serikalini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA

 Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Jumamosi Novemba 21, 2015 
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Jumamosi Novemba 21, 2015.
Waziri Mkuu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani