Nadharia za asili ya lugha ya Kiswahili
Historia ya lugha ya Kiswahili imegawanyika katika vipindi tofauti katika ukuaji na kuenea kwake, lakini asili ya lugha hii imeelezewa na wataalamu wengi kupitia hoja mbalimbali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Athari ya lugha za asili katika Kiswahili
Niliwahi kueleza katika makala zangu za hapo awali na kusisitiza kuwa bado wako waandishi wengi wanaoendelea kufanya makosa ya hapa na pale bila kuzingatia ufasaha na usanifu wa lugha ya Kiswahili. Nilitilia mkazo katika uandishi hasa kwa upande wa sintaksia, mofolojia na semantiki katika Kiswahili. Niliwasihi waandishi wawe makini wanapoandika makala na taarifa  za matukio mbalimbali. Watumie lugha sanifu na iliyo fasaha ili wasomaji wapate habari zilizo sahihi na za ukweli....
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali na hasa nyimbo, misemo, nahau na...
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Uandishi lazima uheshimu Lugha Asili
Mwandishi Profesa Abbas Kiyimba, wa chuo kikuu cha Makerere amesisitiza umuhimu wa kuendeleza lugha za Afrika katika Uandishi.
9 years ago
Habarileo29 Dec
‘Maombi kwa lugha za asili si dhambi’
WAUMINI wa Kanisa Katoliki nchini wametakiwa wakati fulani kutumia lugha za makabila yao wanapofanya maombi binafsi wawapo kanisani.
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Uchambuzi wa lugha ya Kiswahili
Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini baadhi ya waandishi wa magazeti hawazingatii maelekezo na maoni  yanayotolewa mara kwa mara katika gazeti hili kuhusu uandishi bora. Inawezekana kuwa baadhi ya waandishi hawa hawasomi makala zinazolenga kuinua uwezo wao kitaaluma ama hawaelewi au hawapendi kujifunza.
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Utafiti wa Lugha ya Kiswahili
Katika mojawapo ya makala zangu, nimewahi       kueleza kuwa mojawapo ya njia za kukiimarisha Kiswahili ili kiwe kweli ni tunu ya taifa ni lazima serikali itoa fedha za kutosha za kufanya utafiti lengo likiwa ni kuimarisha msamiati na istilahi za Kiswahili na hatimaye kuchapisha kamusi za istilahi za taaluma mbalimbali. Tunaweza kufanya hivyo kwa kutumia hazina iliyopo katika lugha zetu za asili zikiwamo lugha za Kibantu na pia zile ambazo siyo za Kibantu. Eneo jingine la...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Ukuzaji wa Lugha ya Kiswahili
Watumiaji muhimu wa lugha ya Kiswahili nimewagawa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaozungumza kwa maana ya kujadili jambo kwenye kongamano, semina, warsha au kuhutubia katika mikutano ya hadhara. Kundi la pili ni la waandishi wa magazeti, makabrasha, vipeperushi na wale wanaotangaza katika vyombo vya habari kama redio na runinga. Katika makundi hayo mawaili wote wanatakiwa kutumia lugha sanifu na fasaha kwa lengo la kuwaelimisha au kuwahabarisha watu.
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Lugha sanifu ya Kiswahili.
Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengin
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania