NAFASI ZA KAZI KUTOKA TANAPA
![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm13lD99bhuE*GKjNOCfVhdGdcIatt1zYeKHnXypSny9ZboJGduFxsj05U3KqR7hv4ed*SdMqNMfI*0s5iovJ8T8/tanapa_logo.gif?width=120)
1.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100) Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii. 1.1 MAJUKUMU YA KAZI Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali Kufanya usafi na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi10 Apr
TANAPA YAKANUSHA KUTANGAZA NAFASI ZA KAZI
Shirika la Hifadhi za Taifa linapenda kutoa ufafanuzi kuwa nafasi hizo zilizotangazwa sio za Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) bali ni ajira zilizotangazwa na Serikali Kuu kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma – Ofisi ya Rais na ambako kimsingi maombi ya nafasi...
10 years ago
GPLNAFASI ZA KAZI KUTOKA R&N SOLUTIONS LTD
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-TDF0Wb5W3Dg/Uut6vhV9Q4I/AAAAAAAAicQ/u3oFhd6JU80/s72-c/JOBicon.jpg)
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA KAMPUNI YA NOFO
![](http://4.bp.blogspot.com/-TDF0Wb5W3Dg/Uut6vhV9Q4I/AAAAAAAAicQ/u3oFhd6JU80/s1600/JOBicon.jpg)
(1) Shahada ya kwanza au stashahada ya juu ya biashara katika masoko(2) Uelewa mzuri na ueledi wa kuimarisha na kupanua wigo wa masoko(3) Ari na moyo wa kufikia malengo uliyowekewa(4) Uwezo wa kujieleza vizuri...
10 years ago
GPLNAFASI ZA KAZI KUTOKA CHUO CHA DIT
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FZjUBIw6Q5Y/VfbH7s170fI/AAAAAAAH4v8/HrZlqsrgK0k/s72-c/aitv.png)
11 years ago
Michuzi04 Mar
9 years ago
MichuziTANAPA YAANZA KUBADILI MFUMO WA UTENDAJI KUTOKA KIRAIA KWENDA JESHI USU
Jumla ya wahifadhi 40 walihitimu mafunzo ya Awamu ya kwanza ya kubadili mfumo wa utendaji kazi kutoka ule wa kiraia kwenda wa jeshi usu kwa kwa viongozi maafisa wa ngazi ya kati “Transformation Leadership Course for Middle Cadre Wardens” yaliyofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni.
Mfumo...
10 years ago
Michuzi30 Oct
NAFASI ZA KAZI
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0756608383 na 0713608383
11 years ago
TZToday03 Aug
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi...