Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANAPA YAKANUSHA KUTANGAZA NAFASI ZA KAZI

Baadhi ya mitandao ya habari ya kijamii zimekuwepo habari zilizonukuliwa zikitoa taarifa kuwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira kwa Wahifadhi Wanyamapori madaraja ya pili na tatu.
Shirika la Hifadhi za Taifa linapenda kutoa ufafanuzi kuwa nafasi hizo zilizotangazwa sio za Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) bali ni ajira zilizotangazwa na Serikali Kuu kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma – Ofisi ya Rais na ambako kimsingi maombi ya nafasi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NAFASI ZA KAZI KUTOKA TANAPA

1.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100) Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.

1.1 MAJUKUMU YA KAZI Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali Kufanya usafi na...

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAZINDUA KAMPENI YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI JIJINI MWANZA.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwasili katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa Ndani.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari waliofika kwa ajili ya shughuli hiyo ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Kikundi cha Ngoma cha Bujorwa kikitoa burudani kwa wageni waalikwa.Meneja...

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Darasa kwa Wasanii: Ifahamu haki ya kutangaza kazi (Broadcasting Rights)

cmea

Msikilize Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA), akielezea kuhusu haki ya kutangaza kazi (Broadcasting Rights) inavyofanya kazi. Hili ni darasa zuri na muhimu kwa wasanii wote kuhusiana na sheria zinazolinda haki zao.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI

Wanahitajika wasichana wa kuuza duka kubwa liliopo posta jijini dar es salaam, wenye uwezo wa kufanya Marketing, na Online Sales. 
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0756608383 na 0713608383

 

11 years ago

TZToday

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani