Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu mawaziri, maDC lawamani

WABUNGE wametuhumu baadhi ya viongozi wa Serikali, wakiwamo naibu mawaziri, wakuu wa wilaya na mabaraza ya ulinzi na usalama ya wilaya, kuwa wachochezi na vyanzo vya migogoro na uvunjifu wa amani katika baadhi ya maeneo nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS
Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS
2.1 Waziri wa… ...

 

9 years ago

StarTV

Dk. Magufuli awaapisha mawaziri 5, naibu 1

Rais John Magufuli amewaapisha mawaziri watano na naibu waziri mmoja waliosalia kwenye baraza la kwanza la mawaziri la Serikali ya awamu ya tano na kufanya sasa baraza hilo kukamilika kwa kuwa na mawaziri 19 na manaibu waziri 15.

Mawaziri hawa wanaungana na wenzao kuongoza baraza hilo lenye wizara 18 ambao waliapishwa Desemba 12 mwaka huu.

 Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais Dk. John Magufuli anawaapisha mawaziri hawa, ambao wengi kati yao wameahidi kutekeleza vipaumbele kwenye wizara zao kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa ampokea Waziri Jenista na Naibu Mawaziri Mavunde na Possi

IMGS5294

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akipokea maua kutoka kwa mtumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu, Numpe mwadumbya (kushoto) baada ya kuwasili ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). IMGS5299 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama (wa pili kushoto)  akishuhudia wakati Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde (wa pili kulia ) na Dkt. Abdallah Possi(kulia) wakipokea maua kutoka kwa...

 

10 years ago

Habarileo

MaDC wapanguliwa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kutengua uteuzi wa wakuu wa wilaya 12, kuteua wapya 27 na wengine 64 kubadilishwa vituo vyao.

 

9 years ago

Habarileo

MaDC wakwepa vinyago vya kushidwa

WAKUU wa wilaya za Bukoba na Muleba mkoani Kagera wamekwepa kupokea zawadi ya vinyago kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo, John Mongella baada ya halmashauri zao kufanya vibaya katika matokeo ya mtihani wa taifa wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2015 na kidato cha nne mwaka jana.

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU WAZIRI ALIOWATEUA KUJAZA NAFASI ZILIZOSALIA, IKULU DAR LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Prof. Jumanne Magembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. Picha na OMR
  Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki wakisubiri kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ikuli jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. Picha na OMR

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI JENISTA MHAGAMA NA NAIBU MAWAZIRI MAVUNDE NA POSSI

si11Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. si12Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani