Naibu Waziri atetea Viti Maalumu bungeni
NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana, ametetea Viti Maalum na kudai kuwa bado wanawake wanastahili kupewa upendeleo wa kuwepo bungeni. Alisema kama neno viti maalum linakera, basi utafutwe utaratibu mwingine ambao utawezesha wanawake wawepo bungeni nusu kwa nusu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma


11 years ago
Mwananchi01 Apr
‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Wabunge viti maalumu badilikeni
10 years ago
Mwananchi08 Nov
47 watoswa viti maalumu CCM, Ukawa
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hatujachakachua majina ya wabunge viti maalumu -NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema majina ya wabunge wa Viti Maalumu iliyoyapitisha hayajachakachuliwa bali yamepitishwa kulingana na orodha ya vyama vya siasa vilivyowasilisha majina hayo.
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.
Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.
Kailima ameongeza kuwa kata...
10 years ago
Habarileo13 Jun
Nafasi ya viti maalumu kaa la moto Shinyanga
JOTO la uchaguzi mkuu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, linazidi kushika kasi baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga juzi kumtoa nje ya ukumbi mmoja wa waliotangaza nia wa nafasi anayotarajia kuitetea.
10 years ago
CHADEMA Blog
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mpambano viti maalumu kuvikutanisha vyama vitatu