Naibu waziri wa kilimo Omar Mgumba,aagiza kukusanywa tani elfu thelathini za mazao
![](https://1.bp.blogspot.com/-K8k1yu8EM8c/XvXhF2A3cbI/AAAAAAALvhA/JgUrG1dC7oAAy22jgcerEVJB8JqcEuYAwCLcBGAsYHQ/s72-c/MGUMMMM.jpg)
Na Amiri Kilagalila,Njombe
Wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula kanda ya Makambako,mkoani Njombe umetakiwa kukusanya tani elfu thelethini za mazao kwa mwaka wa fedha wa 2020 /2021.
Agizo hilo limetolewa na Naibu waziri wa kilimo nchini Omar Mgumba wakati akizungumza na watumishi wa hifadhi hiyo,ambapo amesema kuwa lengo la serikali kitaifa ni kununua na kuhifadhi mazao tani laki tatu kwa mwaka na kanda ya Makambako inatakiwa kununua tani elfu thelathini na kuhakikisha inapata faida katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lnL4ulrLmQ4/XrVyBlGkcoI/AAAAAAALpgo/J17BOrFrDq4NxO3ZypQFRulfnUyPeiNrQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-1.jpg)
NAIBU WAZIRI MGUMBA AKAGUA VITUO VYA AFYA JIMBONI KWAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-lnL4ulrLmQ4/XrVyBlGkcoI/AAAAAAALpgo/J17BOrFrDq4NxO3ZypQFRulfnUyPeiNrQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01-1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-02-1.jpg)
Mjumbe wa kamati ya usimamizi wa Kituo cha Afya cha Mikese akimueleza jambo Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe Omary Mgumba,(wakwanza) kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Morogoro Mhe Kibena Kingo,(wakati )ni diwani wa kata ya Mikese Mhe Mwega .J. Mohamed.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-03-1.jpg)
Mbunge wa...
5 years ago
MichuziSERIKALI HAITOPANGA BEI ZA MAZAO YA WAKULIMA-MHE MGUMBA
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza wenyewe ilihali serikali ikisalia kama msimamizi.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb)...
11 years ago
Habarileo28 Jun
Takwimu kilimo kukusanywa kituo kimoja
SERIKALI imeamua kuboresha ukusanyaji wa takwimu za sekta ya kilimo kwa kuwa na kituo kimoja kitakachosimamiwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Taifa (NBS) ili kuweza kuwa na takwimu zinazofanana zitakazosaidia nchi kupanga mipango inayowiana na mahitaji ya sekta hiyo.
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)
5 years ago
MichuziWAZIRI DK.MPANGO ASEMA SERIKALI INAPENDEKEZA KUSAMEHE KODI YA ONGEZEKO LA THAMAN I(VAT) KATIKA BIMA YA KILIMO CHA MAZAO
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema kuwa Katika Bajeti ya Fedha ya mwaka 2020/2021,Serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye bima ya kilimo cha mazao.
Dk.Mpango amesema hayo leo Bungeni Mjini Dodoma wakati anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye jumla ya Sh.Trilioni 34.88 ambapo katika eneo hilo la kusamehe kodi amefafanua lengo ni kupunguza gharama na kutoa unafuu katika bima za kilimo kwa ajili ya kuwawezesha...
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MASAUNI ATEMBELEA UHAMIAJI, AAGIZA MAKAMPUNI YENYE KUAJIRI WAGENI YACHUNGUZWE
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MFCxR6Ugj9U/XvBI8qGsw8I/AAAAAAALu24/JAChvLEWIEEzvDXlsG6ASq8y2TFTjom_ACLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-06-21-08h39m04s769.png)
Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KILIMO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR