Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna ya Kuchapisha Vitabu Mtandaoni

Na Profesa Mbele
Kutokana na taarifa ninazoandika katika blogu hii, na sehemu zingine, watu wengi wanafahamu kuwa nimechapisha vitabu vyangu mtandaoni. Nimeshawasaidia waandishi kadhaa wa mataifa mbali mbali kuchapisha vitabu vyao kwa mtindo huo. Kwa upande wa Tanzania, niliwahi kuongea na wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu suala hilo, na nilinukuliwa katika gazeti la Mwananchi.

Mara kwa mara, watu huniulizia kuhusu kuchapisha vitabu vyao. Napenda kuongelea tena suala hili,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MSANII WA VICHEKESHO, IDRIS SULTAN KIZIMBANI KWA KOSA LA KUCHAPISHA MAUDHUI MTANDAONI

 Msnii wa vichekesho nchini, Idris Sultan akiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.MSANII wa vichekesho nchini, Idris Sultan na wenzake wawili wamefikishwa leo Machi 20,2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wakikabiliwa na kosa moja la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kibali cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Doctor Ulimwengu na Isihaka Mwinyimvua ambapo wote kwa pamoja walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa...

 

9 years ago

Vijimambo

TEA YAIPA TET MKOPO WA SHILINGI BILIONI TATU KUANDAA MITAALA NA KUCHAPISHA VITABU VYA ELIMU YA MSINGI

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Sifuni Mchome (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Mamlaka ya Elimu (TEA) zilipotialiana saini mkataba wa makubaliano ambapo TEA itaipatia TET Mkopo wa Sh Bilioni 3 kwaajili ya kuandaa mitaala na kuchapisha vitabu vitakavyotumiwa na wanafunzi shule za msingi nchini kuanzia darasa la tatu hadi la sita. Prof Mchome, amewataka TET kuhakikisha wanakamilisha kazi hiyo kwa weledi ili kuweza...

 

10 years ago

Mwananchi

Namna bora ya kutengeneza neno la siri mtandaoni-2

Kama nilivyoeleza katika makala yangu wiki moja iliyopita, neno la siri au nywila, ni miongoni mwa mambo ya msingi na lazima kuwa nalo kwa mtumiaji wa mawasiliano katika mitandao.

 

10 years ago

Mtanzania

Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni

Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...

 

10 years ago

Michuzi

MTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE

Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo juu ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

UN kuchapisha mataifa yanayochafua mazingira

Inadaiwa kuwa joto limeongezeka kwa zaidi ya kipimo cha nyuzi joto mbili, na kuhatarisha zaidi sayari ya dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA sasa kuchapisha ripoti ya Garcia

Maafisa wa FIFA wamekubaliana kuchapisha ripoti kuhusu uchunguzi wa madai ya ufisadi wa kandarasi za kombe la dunia 2018 na 2022

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeua na kuchapisha kwa Facebook kufungwa

Mwanaume mmoja aliyeua mkewe na kuchapisha picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook amepatikana na hatia ya mauaji.

 

10 years ago

Habarileo

Kuchapisha takwimu holela jela miaka 3

BUNGE limepitisha miswada minne iliyokwama kupitishwa katika vikao vya nyuma, kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo Muswada wa Sheria ya Takwimu wa mwaka 2013, unaowabana waandishi na vyombo vya habari, watakaochapisha taarifa za takwimu bila idhini ya Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani