Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna bora ya kutengeneza neno la siri mtandaoni-2

Kama nilivyoeleza katika makala yangu wiki moja iliyopita, neno la siri au nywila, ni miongoni mwa mambo ya msingi na lazima kuwa nalo kwa mtumiaji wa mawasiliano katika mitandao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Namna ya Kuchapisha Vitabu Mtandaoni

Na Profesa Mbele
Kutokana na taarifa ninazoandika katika blogu hii, na sehemu zingine, watu wengi wanafahamu kuwa nimechapisha vitabu vyangu mtandaoni. Nimeshawasaidia waandishi kadhaa wa mataifa mbali mbali kuchapisha vitabu vyao kwa mtindo huo. Kwa upande wa Tanzania, niliwahi kuongea na wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu suala hilo, na nilinukuliwa katika gazeti la Mwananchi.

Mara kwa mara, watu huniulizia kuhusu kuchapisha vitabu vyao. Napenda kuongelea tena suala hili,...

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kutumia fursa za mikutano kutengeneza mitandao ya kibiashara

Ulishawahi kwenda kwenye semina, warsha au mikutano ya wafanyabiashara? Kwenye matukio kama hayo kuna nyakati zinatokea za mapumziko au muda kabla ya kuanza. Wewe kama mfanyabiashara unapaswa kutumia kikamilifu fursa hizi ili kutanua mtandao wa biashara yako. Hii ni nafasi, hupaswi kuipoteza.

 

10 years ago

Vijimambo

NENO LA LEO HILO (KURA NI SIRI)


Politics is game of darkness.....unaemdhania wako kumbe sio wako,na unaemdhani si wako anaweza akawa ni wako..jihadhari kumchukia jamaa au ndugu yako eti kisa yuko chama tofauti..KURA NI SIRI

SOURCE: SALIM AKIDA

 

10 years ago

Mtanzania

Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni

Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...

 

5 years ago

Michuzi

UONGOZI WA TAASISI YA DIT WATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA VIATU YA BORA


Na Mwandishi Wetu

MKUU wa Taasisi  ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Profesa Preksedis Ndomba akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Kampasi ya DIT Mwanza Dk. Albart Mmari, na Mkuu wa Idara ya Mafunzo Viwandani Dk John Msumba wametembelea Kampuni ya kutengeneza viatu ya BORA ikiwa ni hatua za awali katika kuingia ushirikiano.

Timu hiyo kutoka DIT imepata nafasi ya kutembelea kiwanda hicho cha BORA kujifunza na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda hicho.

DIT ambayo Kampasi ya Mwanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Tutandelea kutengeneza filamu kwa mtindo wa bora liende mpaka lini?

Tasnia ya filamu hapa nchini inaonekana kukua siku hadi hali inayosababisha kutengenezwa kwa kazi mpya kila kukicha na kusababisha ushindani mkubwa sokoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna bora ya kuvunja mkataba wa kazi

Mkataba wa ajira husainiwa kwa amani, nderemo, vifijo na shukrani nyingi na nyuso za pande zote mbili yaani mwajiri na mfanyakazi zikionyesha furaha ya kufungua ukurasa mpya wa maisha kwa kutenda kazi pamoja.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna bora ya kurasimisha biashara zetu

Wajasiriamali wengi wadogo hawajarasimisha biashara zao. Kitendo cha kutorasimisha biashara zao kimewafanya kufanya biashara hizo kwa mashaka bila kujiamini. Mara nyingi wamekuwa wakifukuzwa na hata kuchukuliwa bidhaa zao na mamlaka za miji na majiji. Pia, wamekuwa wakikosa huduma muhimu kama vile mikopo kutoka katika taasisi za kifedha na misaada kutoka serikalini kwa kuwa hawana anuani maalumu ya biashara zao.

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kupangilia mfumo wa ulaji bora kwa afya thabiti

Maisha ya mwanadamu yanapitia hatua mbalimbali za maisha na ukuaji. Kila awamu ya maisha inahitaji ulaji wa chakula wa aina yake. Iwapo ni mtoto, mwili unahitaji virutubisho ili kusaidia ukuaji wa mwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani