Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani kumpokea rais mpya kileleni?

Ni dhahiri joto la Uchaguzi Mkuu limepanda karibu kila kona, ikiwamo katika michezo.Hata hivyo, leo na kesho joto litaongezeka maradufu wakati Yanga, Azam, Simba na Mtibwa Sugar zikiwania kumkaribisha rais ajaye wa Tanzania baadaye mwezi huu,  zikiwa kileleni mwa Ligi Kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nani atashuka kileleni?

NANI kushuka kwenye msimamo wa ligi leo? Yanga, Azam FC na Mtibwa Sugar zina kibarua kizito cha kutafuta pointi tatu ambazo zitawafanya kuendelea kung’ara na kujiweka sehemu salama za kugombea nafasi za juu.

 

10 years ago

Vijimambo

Maandalizi ya kumpokea Rais wa Msumbiji

Mjumbe wa Kamati ya Mapokezi ya Rais wa Msumbiji Maalim Vuai Khamis kutoka Taasisi ya Elimu akikagua Gwaride la Jeshi la Wananchi wa Tanzania {JWTZ } ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya ujio wa Kiongozi huyo wa Jamhuri ya Msumbiji Bwana Philipe Jacinto Nyusi anayetarajiwa kufanya ziara ya siku Moja Zanzibar.Kamanda Mkuu wa Brigedia Nyuki Zanzibar Bwigedia Jenerali Cyrill Ivor Mhaiki akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sherehe na...

 

10 years ago

Vijimambo

Kenya Yajiandaa Kumpokea Rais Obama july 24 2015


Mara ya kwanza Rais Barack Obama wa Marekani kwenda nchini Kenya ilikuwa mwaka 2006 akiwa Seneta, Rais Obama anatarajiwa kuwasili nchini Kenya leo Ijumaa 24/08/2015, Atatembelea mataifa mawili ya Afrika, baada ya Kenya atakwenda Ethiopia.
Julai 25 Rais Obama atahudhuria mkutano wa Global Entrepreneurship Summit, mkutano amabo unawakutanisha viongozi wa biashara, taasisi za kimataifa na serikali. Credit: TeamTz
Kenyan artist Evans Yegon, known as “Yegonizer”, poses by one of two paintings of...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE LEO JUMATANO

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE KESHO JUMATANO

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi

George Boniface Taguluvala Simbachawene ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) katika Serikali ya Awamu ya Tano.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani