NAONGEA NA JIDE NA WANAWAKE WANAOPIGWA NA WAUME ZAO
![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCty0x5g3qdb3WDeQkNRGXPriT6GMC-kZ8xfVVyfLl9bGsoGig02ipYm50UGSkfZnBpOiKNsFlRDRe4AcKQb-OuB/Jide.jpg)
Jumanne tena! Jumanne hii iko ndani ya msimu wa sikukuu, kuna Krismas na Mwaka Mpya! Lakini sikukuu ya kwanza ni Mwaka Mpya halafu inakuja Krismas, si ndiyo?Wiki hii nina mada nzito jamani! Ndiyo maana nimeipa uzito wa kichwa kisemacho; naongea na Jide na wanawake wanaopigwa na waume zao. Mada hii kwanza inataka utulivu kuielewa kwani mtu akisoma kwa juujuu anaweza kutoka kapa. Lakini naamini wasomaji wangu wote wana ufahamu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Wanawake wanavyoteswa na waume zao Zanzibar
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Kamanda: Wanawake wawajibike kwa waume zao
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wanawake walivyoambulia makofi ya waume zao kwa kusaka maji
10 years ago
Habarileo14 Dec
Wanawake wasaidie waume wasife kwa wingi barabarani
WANAWAKE wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuwatahadharisha wenzi wao kuwa makini wanapokuwa barabarani kutokana na takwimu kuonesha ajali nyingi za vifo zimekuwa zikihusisha zaidi wanaume.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
AFYA: Sumu huathiri waume, watoto wa wanawake wanaotumia mikorogo
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Wanawake na changamoto zao
SIKU ya Wanawake Duniani huadhimishwa Machi 8 kila mwaka. Siku hii wanawake huungana kusherehekea japokuwa wanatofautiana kwa umri, kabila, rangi, kazi, makazi, imani na mitazamo ya kijamii. Imekuwa ni siku...
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Wanawake watakiwa kutambua haki zao
WAWANAKE mkoani Iringa wametakiwa kuzitambua haki zao sambamba na sheria za utawala bora ndani ya jamii katika kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
KPC inayowainua wanawake kutambua haki zao
VITENDO vya ukatili wa kijinsia ni kati ya vita ambavyo vinatakiwa kushikiwa bango na kila mmoja bila kujali ni mwanamke au mwanaume. Tumekuwa tukishuhudia wanawake wengi wakinyanyasika, wakipigwa hadharani na...