Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape ashiriki Jogging Tegeta

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Club .

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine na makada wa CCM wakishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Clubikiwa sehemu ya uzinduzi wa klabu hiyo ya michezo na mazoezi ya Tegeta.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAPE AZINDUA KIKUNDI CHA MICHEZO CHA TEGETA JOGGING.

 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikundi cha michezo cha Tegeta Jogging and sports club ambapo aliwaambia vijana wajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura kwanza na kuweka itikadi za vyama pembeni, pia alitoa pongezi kwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo na Makazi William Lukuvi kwa kazi nzuri ya kusimamia viwanja vya wazi vilivyovamiwa hasa katika wilaya ya kindondoni virudi visaidie katika kukuza michezo.Kada wa CCM Gabriel Munasa akiwasalimia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ashiriki katika bonanza la vilabu vya Jogging mkoa wa Dar, vijana watakiwa kujiandikisha daftari la wapiga kura

k01

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akianza mazoezi wakati akishiriki katika bonanza la Jogging lililoandaliwa na Kundi la Kaza Moyo Jogging Club la Ukonga Sitakishari ili kuhamasishwa vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura . Mazoezi hayo yameanzia katika viwanja vya Gonga Gongo la Mboto kupitia Kipawa na kuishia kwenye uwanja wa Social Sitaki Shari Ukonga ujumbe mkuu wa Bonanza hilo ulikuwa ni kuwataka vijana kujitokeza kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA NA NAPE WAONGOZA MAKUNDI YA VIJANA KUSHIRIKI JOGGING JIJINI MWANZA ASUBUHI HII.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wameongoza makundi ya vijana kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu pamoja na Machinga wa mjini Mwanza kukimbia mchakamchaka (jogging) kwa umbali wa zaidi ya kilometa 2,kuanzia Barabara ya Stesheni,kupitia barabara ya Posta,Kenyatta, Karuta,Lumumba maeneo ya Soko Kuu mpaka Stendi ya zamani Tanganyika.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa...

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA

 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakijitokeza kufanya usafi
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakishiriki usafi
  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA NAPE NNAUYE ASHIRIKI KUFANYA USAFI NA WANANCHI JIMBONI KWAKE


Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye na wakazi wa jimbo hilo ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
Usafi ukiendelea Mtama ambapo wananchi wamesafisha mitaro yote pamoja na maeneo ya sokoni.

Mbunge wa Jimbo la...

 

11 years ago

BBC

The country where jogging is a crime

The country where jogging is now a criminal activity

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwananyamala Jogging kuzinduliwa leo

p>KLABU ya Mwananyamala Jogging, inatarajiwa kufanya sherehe maalumu za kuizindua tangu ilipoanzishwa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Salum Nyumba ‘Chisco’, alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijana wa Kawe washiriki Jogging

*Jogging zawaweka wananchi wa Kawe pamoja

*Watumia mazoezi kama njia ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya

*Kuhamasisha vijana wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

*Makundi zaidi ya 20 yashiriki.

8

 Vijana wa Kawe wakishiriki Jogging.

 Gabriel Munasa (mwenye kaptura ya pink) akishiriki jogging pamoja na vijana wa Kawe,kushoto kwake ni Elias Nawera.

 Bendera ya Taifa ikiwa juu kuashiria kuhitimisha kwa mchakamchaka huo ambao mgeni rasmi alikuwa Gabriel Munasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani