Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wa Kawe washiriki Jogging

*Jogging zawaweka wananchi wa Kawe pamoja

*Watumia mazoezi kama njia ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya

*Kuhamasisha vijana wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

*Makundi zaidi ya 20 yashiriki.

8

 Vijana wa Kawe wakishiriki Jogging.

 Gabriel Munasa (mwenye kaptura ya pink) akishiriki jogging pamoja na vijana wa Kawe,kushoto kwake ni Elias Nawera.

 Bendera ya Taifa ikiwa juu kuashiria kuhitimisha kwa mchakamchaka huo ambao mgeni rasmi alikuwa Gabriel Munasa.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Gabriel Munasa aweka nia kwa staili ya Jogging Ubunge Kawe

g1

Gabriel Munasa (mwenye kofia) akiongoza vijana wa Kawe kukimbia mchaka mchaka (Jogging) ikiwa sehemu ya kuwakutanisha wananchi pamoja ambapo pia alitumia fursa hiyo kuweka nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe na kama litagawanywa atagombea  Bunju.

g2

Gabriel Munasa akishiriki mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya Kawe baada ya kumaliza jogging yenye lengo la kuwakutanisha vijana pamoja,kuwahamasisha kujiandikisha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,kuhamasisha vijana kujiunga...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Vijana washiriki mdahala katika Wiki ya Vijana mkoani Tabora

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissuiakizungumza katika mdahalo wa vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa. Mchumi Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas Kileka akitoa mada kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa...

 

9 years ago

Vijimambo

VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WASHIRIKI MDAHALO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA

10Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) akiwasilisha mada kuhusu vijana na mitandao ya kijamii katika mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.2Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Uratibu, Bibi. Esther Riwa akiwasilisha mada ya ujasiriamali wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana...

 

10 years ago

GPL

VIJANA WA JOGGING WASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA MMOJA

Keki maalumu kwa Kikundi cha Mji Mwema Jogging. Mshauri wa Mgambo na Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Temeke, Luteni Kanali, Juma Sigambena akitoa vyeti.…

 

10 years ago

Michuzi

KINANA NA NAPE WAONGOZA MAKUNDI YA VIJANA KUSHIRIKI JOGGING JIJINI MWANZA ASUBUHI HII.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wameongoza makundi ya vijana kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu pamoja na Machinga wa mjini Mwanza kukimbia mchakamchaka (jogging) kwa umbali wa zaidi ya kilometa 2,kuanzia Barabara ya Stesheni,kupitia barabara ya Posta,Kenyatta, Karuta,Lumumba maeneo ya Soko Kuu mpaka Stendi ya zamani Tanganyika.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ashiriki katika bonanza la vilabu vya Jogging mkoa wa Dar, vijana watakiwa kujiandikisha daftari la wapiga kura

k01

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akianza mazoezi wakati akishiriki katika bonanza la Jogging lililoandaliwa na Kundi la Kaza Moyo Jogging Club la Ukonga Sitakishari ili kuhamasishwa vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura . Mazoezi hayo yameanzia katika viwanja vya Gonga Gongo la Mboto kupitia Kipawa na kuishia kwenye uwanja wa Social Sitaki Shari Ukonga ujumbe mkuu wa Bonanza hilo ulikuwa ni kuwataka vijana kujitokeza kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA DANCE 100% WAADHIMISHA SIKU YA VIJANA VODACOM

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akifafanua jambo kwa washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia...

 

11 years ago

Michuzi

Vijana wa Kiislam Wilayani Kilwa washiriki Mashindano ya Kusoma Quraan

Na Abdulaziz Video,Lindi.
Viongozi wa Dini wilayani Kilwa mkoani Lindi wametakiwa kuhubiri Amani,umoja na mshikamano wanapokuwapo kwenye ibada zao ili kuliombea Taifa lisiingie kwenye vurugu zinazoweza kusababisha uvunjivu wa amani ya nchi Hususan katika mchakato wa katiba mpya
Akihutubia waislam walioshiriki katika shindano la kila mwaka la Usomaji wa Quran,Mkuu wa wilaya ya kilwa,Abdallah Ulega ameeleza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa katika Kuelimisha na kukemea waumini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani