Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE ATANGAZA RATIBA YA MIKUTANO YA CCM

Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema vikao hivyo vilianza leo kwa sekretalieti kukutana na kujadili maandalizi ya kamati kuu (CC), Halmashauri Kuu (NEC) na mkutano mkuu huku kesho julai 8 inakutana kamati ya Usalama na maadili ndani ya Chama ambacho kitakuwa chini ya Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania Jakaya  Kikwete.Nape amesema keshokutwa Julai 9 kutakuwa na uzinduzi wa Ukumbi mpya ambako kutafanyikia Mkutano mkuu wa mwaka huu utakaofanywa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nape awajibu wanaoishinikiza CCM itoe ratiba ya uchaguzi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema chama hicho hakitaendeshwa kwa mashinikizo ya watu wanaotaka kitangaze haraka ratiba ya uteuzi wa wagombea wake kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

AGIZO: Mikutano ya Nape yapigwa ‘stop’

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashina ya chama hicho mjini Mtwara.

 

9 years ago

Habarileo

Nape atangaza kuing’oa CUF kusini

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amewatangazia kiama wapinzani hasa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa mikoa ya Kusini, akibainisha kuwa mwisho wao ni mwaka huu, licha ya kujijengea himaya kubwa kwenye ukanda huo.

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AITAKA TUME YA UCHAGUZI KUWA NA RATIBA YA UHAKIKA


 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi.
 Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa Tumeya uchaguzi akifafanua jambo wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO ATANGAZA RATIBA ZA MITIHANI NA MASOMO

Kutokana na Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili ya kukamilisha mwaka wa masomo.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.
Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari wa masomo shule...

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO ATANGAZA RASMI RATIBA YA MITIHANI NA MASOMO, ATAKA TAHADHARI YA CORONA IZINGATIWE

Charles James, Michuzi TV

KUFUATIA Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili ya kukamilisha mwaka wa masomo.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.

Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani