Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape awajibu wanaoishinikiza CCM itoe ratiba ya uchaguzi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema chama hicho hakitaendeshwa kwa mashinikizo ya watu wanaotaka kitangaze haraka ratiba ya uteuzi wa wagombea wake kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NAPE AITAKA TUME YA UCHAGUZI KUWA NA RATIBA YA UHAKIKA


 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi.
 Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa Tumeya uchaguzi akifafanua jambo wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE ATANGAZA RATIBA YA MIKUTANO YA CCM

Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema vikao hivyo vilianza leo kwa sekretalieti kukutana na kujadili maandalizi ya kamati kuu (CC), Halmashauri Kuu (NEC) na mkutano mkuu huku kesho julai 8 inakutana kamati ya Usalama na maadili ndani ya Chama ambacho kitakuwa chini ya Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania Jakaya  Kikwete.Nape amesema keshokutwa Julai 9 kutakuwa na uzinduzi wa Ukumbi mpya ambako kutafanyikia Mkutano mkuu wa mwaka huu utakaofanywa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya CCM

074

2014 20.10.2014 RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA.doc by moblog

 

11 years ago

GPL

NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE‏

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze. Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze. Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na… ...

 

9 years ago

Vijimambo

NAPE NNAUYE: ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2015-2020 IKO TAYARI

Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akitolea ufafanuzi mambo mbalimbali kwa waandishi wa habari wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika CCM Lumumba jijini Dar es salaam.Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiionyesha ilani ya uchaguzi iliyopitishwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.Hii ndiyo Ilani yenyewe.Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Baadhi ya wapiga picha vyombo mbalimbali vya habari wakichukua matukio katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu

A

MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM katika jamii, kwnye semina ya wachungaji wa kanisa hilo wa ndani na nje ya Tanzania, inayoendelea Kibahaka mkoa wa Pwani. Watatu kulia ni Mama Eliakunda Mwingira.

AA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa mada kwenye semina hiyo.

> . Asema wanapoteza muda na pesa zao

>. Awataka...

 

9 years ago

GPL

NAPE NNAUYE:ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2015-2020 IKO TAYARI‏

Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akitolea ufafanuzi mambo mbalimbali kwa waandishi wa habari wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika CCM Lumumba jijini Dar es salaam. Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiionyesha ilani ya uchaguzi iliyopitishwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma. Hii ndiyo Ilani yenyewe.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani