Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AWAKABIDHI MATREKTA WAKULIMA NI YALE YANAYOTOLEWA KWA MKOPO NA KAMPUNI YA KARIATI TRACTOR‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kariati Tractor ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kwadelo, Omary Kariati (kulia), akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye alipofika kuwakabidhi matrekta wakulima kutoka mikoa mbalimbali Dar es Salaam jana mchana.  Katibu wa Itikadi na Uenezi… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Kariati yakabidhi wakulima matrekta manne leo, Jijini Dar

1. logo ya kariati

Kampuni ya Kariati Matracktor Diwani wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, Omary Kariati, leo imekabidhi matrekta manne kwa wakulima wa wilaya ya Kondoa (matrekta matatu) na Mbarali (trekta moja), katika hafla iliyofanyika leo asubuhi, kwenye Ofisi za Kariati Matrektor, Kinondoni, Dar es Salaam. Zinazofuatia ni picha za hafla hiyo. (Picha/Maelezo na Bashir Nkoromo).

akikabidhi funguo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kariati Matractor, Omary Kariati akimkabidhi fungua za trekta Mwakilishi wa wkulima wa Kondoa,...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA DORCAS MEMBE AFUNGUA KITUO CHA KUSAMBAZIA MATREKTA WAKULIMA CHA KARIATI MATRACTOR KILICHOPO KINONDONI JIJINI DAR

MKE wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dorcas Membe amekitaka kituo cha kusambaza Matrekta kwa wakulima cha Kariati Matrekta kupunguza tena bei za bidhaa hizo ili kuwa kimbilio kwa wakulima.
Kauli hiyo ameitoa leo jijini  Dar es Salaa wakati akizindua kituo hicho ambapo alisema ingawa bei zao zipo chini wapunguze tena ili hata mkulima wa chini aweze kumudu kununua au kukopa trekta hiyo imuwezeshe kuondokana na umasikini.
Akizungumza katika uzinduzi huo alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

KILIMO: ‘Kampuni za matrekta hazijawakomboa wakulima wadogo’

>Pamoja na kuwapo kampuni nyingi za kuuza matrekta nchini, bado hali hiyo haijaweza kuwakomboa wakulima wadogo kwa vile hakuna sera ya kuwakopesha wazalishaji hao ambao rasilimali yao kubwa ni ardhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni D’salaam yaanza kukopesha matrekta wakulima

Kampuni ya Intertechnology Ltd ya Dar es Salaam, imeanza kuuza na kukopesha matrekta yenye gharama nafuu kwa wakulima kwa lengo la kuongeza kasi ya mapinduzi ya kijani katika sekta ya kilimo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MATREKTA 19 KWA WAKULIMA


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi matreka 19 yenye thamani ya sh. bilioni 1.520 yaliyolewa kwa mkopo na Benki za NMB na CRDB kwa ajili ya wakulima wa mkonge wanaounda Vyama vya Msingi (AMCOS) vinne vya kilimo cha mkonge.

Ameyasema hayo leo(Alhamisi, Machi 5, 2020) baada ya kutembelea eneo eneo la shamba la mkonge la wakulima wadogo Mwelya Sisal Estate na kujionea shughuli za za usindikaji mkonge na kukabidhi matrekta kwa wakulima.

Benki ya NMB imetoa matrekta 11 na matera 22 yenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Karatu sasa kugawa matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima

Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, imepanga kutoa zaidi ya matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha kilimo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mucoba kunufaisha wakulima kwa mkopo nafuu

WAKULIMA wa Mkoa wa Iringa, wanatarajia kunufaika na ruzuku za pembejeo kupitia Benki ya wananchi Mufindi (Mucoba) kwa kupatiwa mikopo kwa kila kikundi cha wakulima itakayokuwa na riba nafuu. Akizungumza...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA MKOPO WA SHILINGI BIL. 3 KWA WAKULIMA WA MUHOGO HANDENI


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 3, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la muhogo wilayani Handeni, mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justin (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao hilo nchini, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yatoa mkopo wa Shilingi bilioni 3 kwa wakulima wa muhogo Handeni

 Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB – Filbert Mponzi (Pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni Tatu Mkuu wa Wilaya ya Handeni – Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la Muhogo Wilayani Handeni Mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) – Japhet Justin (Pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao la Mihogo nchini Tanzania, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani