Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAVY KENZO: TUPO TAYARI KUKINUKISHA TAIFA

Wasanii wanaounda kundi linalotikisa Bongo, Navy Kenzo (Nahreel na Aika) wakiwa ndani ya studio za Global TV Online kabla ya kuhojiwa. WAKATI macho na masikio yote yameelekezwa katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini, kundi linalotikisa Bongo, Navy Kenzo limesema lipo tayari kukinukisha.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ikulu: Tupo tayari

mtanzaniaFredy Azzah na Esther Mbussi, Dar es Salaam

SIKU chache baada ya Bunge kuhitimisha mjadala wa uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kupitisha maazimio nane ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha watendaji na wanasiasa waliohusika, Ikulu imesema itayafanyia kazi maazimio hayo kwa uzito mkubwa.

Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipozungumza na MTANZANIA juu ya hatua iliyofikiwa katika kutekeleza maazimio yaliyofikiwa na Bunge.

Balozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwansasu: Tupo tayari dhidi ya Misri

Fainali za Afrika za soka la ufukweni zitakazofanyika visiwa vya Shelisheli mwezi Aprili mwaka huu,Tanzania yategemea ushindi .

 

10 years ago

Michuzi

Tupo tayari kwa Uhurumarathon 2014


 Mratibu wa Uhurumarathon Tanzania Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kukamilika kwa maandalizi yam bio hizo zinazotarajiwa kufanyika jumapili hii jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya Leders Club kushoto ni katibu mkuu wa shirikisho la Riadha la Taifa Selemani Nyambui.
MAANDALIZI ya mbio za Uhuru, Uhuru Marathon, zinazotarajiwa kufanyika Desemba 7  (jumapili) jijini Dar es Salaam yamekamilika, huku wanaridha kadhaa kutoka ndani na nje ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tupo tayari kupokea Katiba inayoburushwa?

SWALI la msingi na lenye maana kwa kipindi hiki, ni kujiuliza kama tunaamini kuwa mchakato wa Katiba unakwenda vizuri, na hakuna tatizo, Je Watanzania wameulizwa kama wapo tayari kuipokea Katiba...

 

11 years ago

GPL

TUPO TAYARI KUIKABILI ZIMBABWE- NOOIJ

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij. KOCHA wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema wachezaji wake wako tayari kwa ajili ya mechi ya Kombe la Afrika dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors) itakayochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo (Mei 16 mwaka huu), Nooij amesema kabla ya kuja Tanzania alikuwa akifuatilia Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), hivyo anawafahamu wachezaji...

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo wagombewa kimataifa

navyNA SHARIFA MMASI

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.

Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.

Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Navy Kenzo — Chelewa

Kundi la Navy Kenzo limeachia Video Mpya ya “Chelewa” Video imetaarishwa na Director Enos Olik kutoka Kenya

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo — Moyoni

Wimbo mpya wa kundi la Navy Kenzo unaitwa ‘Moyoni’.

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo gumzo Nigeria

Navy KenzoNA CHRISTOPHER MSEKENA

KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.

Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.

“Wanadai ‘audio’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani