Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi nne kuwasili Tanzania kwa Kriketi

Namibia, Nigeria, Botswana, Kenya na Uganda zitawasili Tanzania kwa ajili ya michuano ya kriketi kwa wanaume chini ya miaka 19

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JENGO REFU NCHI UKANDA WA MAZIWA MAKUU NA LA NNE KWA UREFU AFRIKA

Hili ndilo jengo refu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima. Jengo hili linamilikiwa na Mfukowa Pensheni wa PSPF

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATAJA SABABU ZA TANZANIA KUTOSHIRIKI MKUTANO WA NCHI NNE NA ULE ULIOTISHWA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amefafanua kwa kina sababu za Tanzania kutoshiriki kwenye mikutano ya kikanda ukiwemo mkutano wa Korido ya Kaskazini unaohusisha nchi nne pamoja na mkutano wa SACU uliotishwa na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa.
Ufafanuzi wa Profesa Kabudi ambao ameutoa leo Mei 13,2020 Bungeni Mjini Dodoma unatokana na kuwepo kwa madai ya baadhi ya watu wasioitakia mema Jumuiya Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa siku nne wa muziki kwa nchi za jahazi, Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwamuwakilisha Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa muziki kwa nchi za jahazi, inaofanyika chuo cha muziki Forodhani Zanzibar.Mkurugenzi wa Chuo cha Muziki Zanzibar bibi Fatma Kilua, akimkaribisha mgeni rasmi Maalim Seif katika ufunguzi za mkutano huo.Muandaaji wa mkutano huo Profesa Raymond Vogals, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
BOFYA HAPA KWA HABARI...

 

10 years ago

Vijimambo

Nahodha kriketi Tanzania aomboleza


Timu ya criket ya Tanzania


Nahodha wa timu ya taifa ya kriketi Tanzania, Hamis Abdallah amesema pengo la mchezaji wa zamani wa timu hiyo, Enjo Seti( wa nne kutoka kulia katika picha mwenye miwani) aliyefariki dunia hivi karibuni kwa ugonjwa wa moyo halitazibika.
Seti, kwa mujibu wa watu wa karibu alifariki dunia Ijumaa akiwa matembezini baada ya kuugua ghafla.
"Kwa niaba ya wachezaji wenzagu, tumehuzunishwa na kifo cha mchezaji mwenzetu, tuliyeanza naye kujifunza kriketi katika miaka ya 1990...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania mwenyeji mchezo wa kriketi

Tanzania sasa itakuwa mwenyeji wa michuano ya Afrika ya kriketi daraja la 1 kwa wanaume chini ya miaka 19

 

10 years ago

BBCSwahili

Kriketi:Tanzania yaifunga Nigeria

Tanzania yaifunga Nigeria kwa wiketi 3 katika michuano ya kufuzu kucheza kombe la Dunia kwa kwa wavulana chini ya miaka 19

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano Kriketi Afrika nchini Tanzania

Michuano ya kriketi ya Afrika kwa wanawake chini ya miaka 19, imeanza kutimua vumbi jijini Dar es salaam Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kambi ya Kriketi yaanza leo Tanzania

Timu ya taifa ya Tanzania inaanza kambi leo Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya kriketi ya Afrika chini ya miaka 19 daraja la 1 itakayofanyika nchini Namibia mwakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kriketi Vijana:Tanzania,Namibia kuchuana

Tanzania itacheza na Namibia katika mechi ya ufunguzi ya Ligi ya Kriketi ya Afrika kwa vijana wa kiume umri chini ya miaka 19

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani