Ndugu wawili kutoka Ufaransa wapata dhahabu!
Vijana wawili wenye umri wa miaka 10 wamepata vipande viwili vya dhahabu venye uzito kilo nzima kila moja.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Diarra ampoteza ndugu yake Ufaransa
PARIS, UFARANSA
KIUNGO wa klabu ya Marseille ya nchini Ufaransa, Lassana Diarra, amesema kwamba amempoteza ndugu yake katika shambulizi la kigaidi lililotokea juzi mjini Paris nchini humo.
Katika shambulizi hilo limepoteza maisha ya watu wengi huku zaidi ya watu 40 wakijeruhiwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
Hadi sasa watu zaidi ya 127 wamepoteza maisha baada ya kutokea mashambulizi katika maeneo mbalimbali kwenye miji sita kwa wakati tofauti nchini humo.
Kupitia akaunti yake ya Twitter,...
10 years ago
BBCSwahili21 May
Ufaransa: Tumeua wanamgambo wawili Mali
11 years ago
Habarileo07 Aug
Majambazi wapora, waua ndugu wawili
NDUGU wawili wameuawa na majambazi waliovamia baa eneo la Mwananyamala kwa Mama Zacharia, jijini Dar es Salaam na kupora mkoba uliokuwa na fedha zaidi ya Sh milioni mbili.
10 years ago
GPLWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA CBE DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Kizimbani kwa kuoa wanafunzi wawili ndugu
JESHI la Polisi Wilaya ya Nkasi, linamshikilia Pius Jacob, mkazi wa Kijiji cha Chala kwa kosa la kuoa mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Kabwe, wilayani Nkasi....
10 years ago
MichuziWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
Kwa kile ambacho kimeonekana ni tishio kwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wanafunzi hawa kutoka kampasi ya Dodoma wameweza kupata ufaulu ...
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Kuchimba dhahabu kutoka kwa Kinyesi !
5 years ago
MichuziDKT. NDUMBARO AFANYA MAZUNGUMZO NA MASENETA KUTOKA UFARANSA
10 years ago
Bongo517 Oct
Picha: Wadau wa muziki wapata msasa kutoka kwa meneja wa T.I, Jason Geter