NEC, Polisi ni mbeleko za CCM
APRILI 6, mwaka huu, kutakuwa na uchaguzi mdogo Jimbo la Chalinze, kuziba nafasi iliyoachwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Said Bwanamdogo, kufariki dunia Januari 22, mwaka huu,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Wamtaka Katibu wa CCM kuacha kumbeba kwa mbeleko Mwigulu Nchemba
Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida David Jairo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya madai yao ya kugomea kuendelea na mchakato wa kura za maoni hadi msimamizi wa uchaguzi ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Iramba, Mathias Shidagisha aondolewe kwenye zoezi hilo, kushoto ni Amon Gyunda.
Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida, Juma Killimbah, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ofisi za chama cha...
10 years ago
Bongo513 Nov
New Music: Amini — Mbeleko
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
NEC yaonya polisi Arusha
MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Fabian Lubuva, amelitaka Jeshi la Polisi mkoani hapa kutumia busara watakapokuwa wakiimarisha ulinzi wakati wa zoezi la upigaji kura kwenye Kata ya Sombetini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lO1nR1WSZXvwcdj99TuuPqxi18MC2wwICQqN7c6Rs1jmUfyu-xLyvbnjg93J25kgBhKSwXWhT6L8jzTJOi16f0xb8TOa5C5-/amini80.jpg)
9 years ago
Mwananchi08 Oct
NEC, polisi, wasimamizi walishana yamini
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mbunge wa CUF apongeza NEC, Polisi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi la Polisi mjini Lindi mkoani Lindi imepongezwa kwa utendaji wake wa kazi kwa kufuata taratibu na sheria kwenye kampeni za uchaguzi zinazoendelea wakati huu.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Usawa wa kijinsia ni mbeleko ya kubeba watu kisiasa?
BINAFSI mimi naamini katika usawa wa binadamu. Ingawa katika kuamini usawa huo natofautiana na wengi kwamba usawa wa binadamu uko katika kutaka yale yote yanayofanywa na jinsia moja yafanywe pia...
11 years ago
Mwananchi13 Mar
CCM, Chadema waikaba NEC Iringa
10 years ago
Habarileo22 Sep
NEC CCM waridhishwa na utekelezaji wa DART
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, wameelezea kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT).