NEC yawataka wanasiasa, wafuasi wao kufuata sheria
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wanasiasa pamoja na wafuasi wa vyama kuzingatia sheria na kuepuka vishawishi vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi ikiwemo sheria namba moja ya mwaka 1985 inayozuia fursa ya wapiga kura kufanya mikusanyiko isiyo ya lazima mara baada ya kupiga kura ndani ya eneo la mita mia mbili hadi mia tatu kutoka katika kituo cha kupigia kura.
Hayo yamebainishwa na Afisa Uchaguzi wa kanda ya Ziwa kutoka tume ya taifa ya uchaguzi katika mkutano wa pamoja baina ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV11 Sep
NEC yawataka viongozi wa vyama kufuata kanuni za uchaguzi
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NCHINI (NEC), Jaji Damian Lubuva amekemea na kupiga marufuku viongozi wa vyama vya siasa wanaozidisha muda wa kufanya kampeni ndani ya nyumba za Ibada kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo wanakiuka kanuni za uchaguzi wa nchi.
Jaji Lubuva ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, na kuonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya viongozi wa kisiasa watakaokaidi sheria hizo za uchaguzi.
Katika Mkutano wa...
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Wanasiasa watakiwa kuwaonya wafuasi wao
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-tvqqhM5oF80/VNDvgOvCd0I/AAAAAAACzTA/dz2PRt56ClU/s72-c/1.jpg)
WIZARA YAWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUWAKATIA BIMA WAFANYAKAZI WAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-tvqqhM5oF80/VNDvgOvCd0I/AAAAAAACzTA/dz2PRt56ClU/s640/1.jpg)
Naibu Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amewataka wamiliki wa vyombo vya habari kuwakatia wafanyakazi wao bima ili ziweze kuwasaidia wakati wanapopatwa na madhara wakiza kazini.
Akijibu swali la mbunge wa viti maalum Anna Mallac, kuhusu mpango wa Serikali kuwapatia ulinzi waandishi pale wanapokuwa wakifanya kazi katika matukio...
9 years ago
Habarileo10 Sep
Aasa wafuasi kuheshimu mabango ya wapinzani wao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Zanzibar, Said Issa Mohammed amewaasa wafuasi wa chama hicho pamoja na wanachama wa vyama vingine vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutochana au kubandua picha za mabango ya wagombea wa vyama vingine.
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
10 years ago
Habarileo04 Oct
NGOs zatakiwa kufuata sheria
MASHIRIKA yasiyo ya serikali(NGOs) yamekumbushwa kufanya kazi bila ubaguzi na kuhakikisha yanafuata taratibu na sheria za usajili wake.
10 years ago
Habarileo02 Jan
Madereva wasisitizwa kufuata sheria
KAMPENI ya usalama barabarani ya kuwataka madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani iliyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe jana imeendelea katika mkoa wa Dodoma.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...