Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasiasa watakiwa kuwaonya wafuasi wao

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama hivyo kutoa maelekezo kwa wafuasi na wanachama wao kutoshiriki katika vitendo vya uvunjifu wa amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

NEC yawataka wanasiasa, wafuasi wao kufuata sheria

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wanasiasa pamoja na wafuasi wa vyama kuzingatia sheria na kuepuka vishawishi vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi ikiwemo sheria namba moja ya mwaka 1985 inayozuia fursa ya wapiga kura kufanya mikusanyiko isiyo ya lazima mara baada ya kupiga kura ndani ya eneo la mita mia mbili hadi mia tatu kutoka katika kituo cha kupigia kura.

Hayo yamebainishwa na Afisa Uchaguzi  wa kanda ya Ziwa kutoka tume ya taifa ya uchaguzi katika mkutano wa pamoja baina ya...

 

9 years ago

Habarileo

Aasa wafuasi kuheshimu mabango ya wapinzani wao

MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Zanzibar, Said Issa Mohammed amewaasa wafuasi wa chama hicho pamoja na wanachama wa vyama vingine vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutochana au kubandua picha za mabango ya wagombea wa vyama vingine.

 

9 years ago

Habarileo

Wanasiasa watakiwa kuvumiliana

VIONGOZI wa kisiasa nchini wametakiwa kuwa na moyo wa kuvumiliana na kuepuka kutanguliza maslahi binafsi.

 

5 years ago

Michuzi

Wafuasi wa Chadema marufuku mahakamani wakati wa usikilizwaji wa Rufaa ya viongozi wao

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri kuwa  hakuna shabiki yetote atakayeruhusiwa kuingia mahakamani hapo kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Lameck Mlacha ametoa amri hiyo leo Aprili 28,2020 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.
Amri hiyo imetolewa ikiwa ni njia moja wapo ya kuepukana na mikusanyiko katika kipindi hiki ambacho nchi...

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasiasa watakiwa ‘kuvaa viatu’ vya Filikunjombe

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza waombolezaji kuuaga mwili wa mgombea ubunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe ambaye wanasiasa wametakiwa kuvaa ‘viatu vyake’ kuiga mema aliyokuwa anayatenda.

 

9 years ago

Habarileo

Wanasiasa nchini watakiwa kuweka mbele maslahi ya taifa

BARAZA la vyama vya siasa nchini limesema kazi ya kulinda kura ipo chini ya mamlaka ya vyombo vya ulinzi kwa mujibu wa katiba na sheria na si wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani