Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Neema ya madawati yawashukia wanafunzi

Tatizo la uhaba wa madawati shuleni huenda likafikia ukomo endapo jitihada zinazofanywa na baadhi ya taasisi zitaungwa mkono.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Changamoto ya madawati yawakabili wanafunzi Misitu sekondari

Jumla ya Wanafunzi 364 kati ya wanafunzi 931 katika shule ya Sekondari Misitu iliyopo Kata ya Kivule wilayani Ilala jijini Dar es Salaam hawana madawati.

Ni wanafunzi 567 pekee ambao wanakaa kwenye madawati katika shule hiyo ambayo pia ina upungufu wa vyumba vya madarasa, matundu ya vyoo na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi.

Kilio cha wanafunzi hao kimekuja mara tu baada ya kupokea msaada wa kompyuta na Printa kutoka kwa mdau wa elimu ambaye amesema vifaa hivyo vitasaidia kuboresha elimu...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA SEED CO KUZAWADIA WANAFUNZI MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA MIL 15 KATIKA SHINDANO LA MASHAMBA DARASA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.

Kampuni ya Seed Co Tz Ltd imezindua rasmi shindano la mashamba darasa kwa shule za Msingi Tanzania ambapo shule itakayokuwa imelima shamba zuri kwa kuzingatia misingi yote ya kilimo bora cha kisasa itajishindia zawadi kubwa ya madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 15 za Kitanzania. Tunaposema kulima kwa kuzingatia misingi ya kilimo bora cha kisasa ni pamoja na matumizi ya mbegu bora, mbolea za kupandia na kukuzia na uhifadhi bora wa mazao baada ya kuvuna. Shindano hili ni...

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uturuki yatoa madawati 100

UBALOZI wa Uturuki nchini kwa kushirikiana na kampuni ya usafirishaji ya Aydin Logistics, wametoa msaada wa madawati 100 wenye thamani ya sh. milioni 10 kwa Shule ya Msingi Vingunguti ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule ya Magole yapatiwa madawati

SHULE ya Msingi Magole iliyopo wilayani Kilosa, Morogoro imepatiwa msaada wa madawati 32 na Benki ya Posta Tanzania yenye thamani ya sh milioni tano. Meneja wa benki hiyo tawi la...

 

10 years ago

Michuzi

MKURANGA WAPATA MSAADA WA MADAWATI

 Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Mkuranga,Benjamini Majoya akipokea msaada  uliotolewa na Kampuni ya Upendo Media Group,Benki ya Maendeleo na Fifa Flow Limited kwa  Mteule Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani,Chediel Luiza katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika viwanja vya Azania Front Jijini Dar es Salaam. 
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

AFISA Elimu Sekondari,Wilaya ya Mkuranga Benjamini Majoya amekishukuru Kituo cha Radio cha Upendo pamoja na gazeti la Upendo...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumbawanga walia kukosa madawati

Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa wanalazimika kukaa sakafuni kutokana na halmashauri hiyo kukabiliwa na upungufu wa madawati 6490.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani