Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki yatoa madawati 100

UBALOZI wa Uturuki nchini kwa kushirikiana na kampuni ya usafirishaji ya Aydin Logistics, wametoa msaada wa madawati 100 wenye thamani ya sh. milioni 10 kwa Shule ya Msingi Vingunguti ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TRA yaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi Tanzania,Yatoa Msaada Hospitali ya Temeke na Kukabidhi Madawati 100 Shule ya Msingi Misitu,Kivule

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),leo Novemba 18,2014 walitembelea Hospitali ya Rufaa ya Temeke jijini Dar es Salaam,ambapo waliweza kutoa msaada wa vitu mbali mbali kwa watoto waliolazwa Hospitalini hapo pamoja na kukabidhi baadhi ya vifaa vya Usafi kwa Uongozi wa hospitali hiyo Mbali na kukabidhi vifaa hivyo,pia walijumuika pamoja na kujitolea kufanya usafi wa Mazingira ya Hospitali hiyo.
Mara baada ya kukamilisha shughuli zote za hospitalini hapo,Wafanyakazi hao walielekea...

 

10 years ago

Habarileo

CRDB yakabidhi madawati 100 shule ya Mwenge

Askofu Mkuu wa KKKT Dk Alex Malasusa (kushoto) akipokea mchango kutoka kwa mtoto ambaye alijitokeza kuchangia ujenzi wa shule ya msingi ya kanisa hilo Misioni ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Fadhili Abdallah).SHULE ya msingi Mwenge iliyopo manispaa ya Shinyanga imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni kumi kutoka benki ya CRDB .

 

10 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI 570

 Mkuu wa Wilaya  ya Busega Mkoani Mwanza Bw. Paulo Mzindakaya , akimpa mkono wa shukurani Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kulia), baada ya kukabidhi  madawati 240 yenye thamani ya shilingi milioni .... yaliyotolewa na benki ya NMB ukiwa ni msaada kwa  Shule za Msingi Nyashimo na Nasa Wilayani Busega pamoja na Sukuma na Simakitongo Wilaya ya Magu ili kupunguza uhaba wa madawati katika shule hizo. Kila shule imepata madawati sitini. Mkuu wa Wilaya  ya Musoma Mkoani Mara Bw....

 

10 years ago

Michuzi

TABATA SHULE YA MSINGI YANUFAIKA NA MSAADA WA MADAWATI 100 TOKA BENKI YA KCB TANZANIA

 .Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Tabata ya jijini Dar es Salaam,Tumaini Kabuta akikabidhiwa msaada wa madawati 100 na Meneja Biashara wa Benki ya KCB Tanzania, Tawi la Mlimani City, Benjamin Mgonja(kushoto) wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo.Benki hiyo imetoa msaada wa matawati 1000 kwa shule kumi za jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Tabata.Wakati wa hafla ya  kukabidhiwa msaada wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Kiimbwa Mkuranga yanufaika na msaada wa Madawati 100 toka KCB Benki

01

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiimbwa iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Eugema Njau(kushoto) akipokea moja ya msaada wa madawati kati ya  100 toka kwa Ofisa Masoko wa Benki ya KCB Tanzania, Margaret Mhina (kulia) Msaada huo ni mwendelezo wa mradi wao wa kugawa  madawati 1000 kwa shule za msingi. Wanaoshuhudia wapili kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa kijiji Ramadhani Bakari na Meneja wa benki hiyo  tawi la Buguruni Luck Mwakitalu.

02

Ofisa wa Benki ya KCB Tanzania,Magret...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA MADAWATI SHINYANGA.

 Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga  Bw. Emmanuel Nkelebe akijiandaa kukata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 50 kwa shule ya msingi Mapinduzi ‘A’ iliyopo Manispaa ya Shinyanga, ikiwa ni muendelezo wa mpango wa benki hiyo katika kuboresha ubora wa elimu hapa nchini. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mwenyeki wa Bodi ya shule hiyo Bw. Sylvester senga (wa tatu kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga  Bw....

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA 27 NA KUJERUHI 100 UTURUKI

Mmoja wa majeruhi katika mlipuko huo. Hali ilivyokuwa baada ya mlipuko kutokea.…

 

10 years ago

Michuzi

NMB YATOA VIFAA VYA HOSPITALI NA MADAWATI - NANYUMBU

Benki ya NMB kwa kuelewa uhitaji wa vifaa vya hospitali na madawati katika jamii inayoizunguka, imetoa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni tano kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu pamoja na madawati sabini yenye thamani ya shilingi millioni tano kwa Shule ya Msingi Likokona iliyoko Wilayani Nanyumbu, Mkoani Mtwara.
Msaada huo uliopokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Festo Kiswaga,   ni mwendelezo wa sera ya NMB ya kuchangia huduma za jamii ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani