Nemo kuvunja ukimya kwa kuachia ‘Hero’ hivi karibuni
Msanii wa R&B, Nemo anatarajia kuuvunja ukimya wake kwa kuachia wimbo mpya hivi karibuni. Nemo aliyewahi kufanya vizuri na nyimbo kama ‘Number One’ na ‘Wife’ amesema wimbo wake mpya Hero umetayarishwa na Man Walter katika studio za Combination Sounds. “Kimya kina mshindo niko na mwanangu Man Walter tuko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha wimbo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Sep
Picha: Izzo B kuachia video ya ‘Walalahoi’ hivi karibuni
9 years ago
Bongo504 Dec
Rapa Baby Boy kuvunja ukimya wa miaka miwili, aeleza kilichosababisha ukimya huo
![baby boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/baby-boy-300x194.jpg)
Rapa wa kitambo aliyewahi kutoa nyimbo kama ‘Tunapendana’ aliyofanya na Steve RnB, Baby Boy amepanga kuvunja ukimya wa miaka miwili aliokaa bila kuachia kazi yoyote.
Baby Boy ambaye kipindi cha nyuma alikuwa akisimamiwa na Zizzou Entertainment ameiambia Bongo5 sababu za kuwa kimya.
“Nimekuwa kimya japo sikuwahi kuacha kurecord nakuandika ngoma mpya ila nlikuwa nasita kuzitoa kutokana na kutokuwa na management, lakini imefika time nimeamua kuachia ngoma japo bado siko katika management kama...
10 years ago
Bongo Movies01 May
9 years ago
Habarileo01 Sep
Slaa kuvunja ukimya leo
WAKATI vyama vinavyounda umoja wa upinzani (Ukawa) vikimaliza utata wa ugawaji wa majimbo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa leo atavunja ukimya kuhusu hatima yake ya kisiasa kwa kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi01 Sep
Dk Slaa kuvunja ukimya Dar leo
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Utamaduni unatufanya tushindwe kuvunja ukimya
9 years ago
Bongo512 Nov
Nay wa Mitego kuvunja ukimya na ‘Nyumbani Kwetu’
![nnnay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/05/nnnay-300x194.jpg)
Rapper Nay wa Mitego amesema anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Nyumbani Kwetu’ ambapo amedai watu watashangaa jinsi alivyobadilika kwenye uimbaji.
Nay amedai kuwa wimbo huo utatoka ukiwa pamoja na video.
“Wimbo unaitwa Nyumbani Kwetu, kwani muziki fulani wa tofauti ambao sijawahi kufanya. Pia hii ni surprise kwa mashabiki wangu wote ambao wanapenda muziki wangu na sidhani kama kuna mtu aliwahi kufikiria kama nitafanya muziki wa aina hii,” rapper huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo...
9 years ago
Bongo522 Oct
JCB kuvunja ukimya na ‘Turu Juu Ya Ngeu’