Nenda IGP Mwema na mikono iliyojaa damu
INSPEKTA Jenerali wa zamani wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, amestaafu. Ameacha kiti kinachobubujika damu ya wanyonge. Ameondoka na mikono iliyojaa damu ya wasio na hatia. Wasio na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
SAU yamkaribisha IGP Mwema
CHAMA cha Sauti ya Umma (SAU), kimemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini mstaafu, IGP Said Mwema kujiunga na chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ...
11 years ago
GPLIGP MWEMA AAGWA RASMI LEO
11 years ago
Michuzi10 years ago
Mwananchi10 Nov
Lipumba: Tutachukua Serikali iliyojaa madeni
11 years ago
Habarileo23 Feb
Polisi wadhibiti majambazi ndani ya baa iliyojaa
MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilayani Simanjiro, Jackos Sipitek pamoja na madiwani wawili wa viti maalumu wamenusurika katika shambulio la majambazi kutaka kuwadhuru polisi kwenye baa ya Pama iliyopo makao mapya jijini Arusha.
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...