Nenda shujaa Mandela
Yametimia. Saa 6:45 kwa saa za Afrika Kusini (sawa na saa 7:45 za Afrika Mashariki) ni muda ambao pengine hautasahaulika katika historia ya nchi hiyo, kwani wananchi wake walishuhudia ukomo wa maisha ya Rais wao wa kwanza mzalendo, Mzee Nelson Mandela.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Maelfu wamuaga shujaa wa Afrika Mandela
Zaidi ya marais 90 wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kuhusu Shujaa huyo wa Afrika.
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba
Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIm2FC1GbVZjdILMPVqjLNUhkCY*i2hIKkEYfd7hoGNNxpd3T7GccOqSgLlmD-R02WggoqUR7Wizxr9ooYB4wMYq/AdamPhilipKuambiana.jpg?width=650)
NENDA KUAMBIANA, UMETUACHIA DUNIA YA KINYONYAJI
Tasnia ya filamu Tanzania imepata pigo kubwa baada ya kufariki kwa Adam Philip Kuambiana. Huyu ni mmoja kati ya waigizaji wachache waliokuwa na uwezo mkubwa.Kuambiana alikuwa na vipaji vingi. Alikuwa muongozaji mzuri sana wa filamu (Director), mwandishi wa Script, mtunzi na zaidi alikuwa muigizaji. Katika kila idara aliyoifanyia kazi, aliitendea haki vilivyo. Ukitaka kujua kama marehemu Kuambiana alikuwa anajua kuongoza filamu,...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Nenda Mzee Saria, umeniachia ujasiri
NI Jumatatu nyingine wadau wa Uwanja wa Kuchonga, tunakutana tena kupeana changamoto za kispoti, lengo likiwa ni lile lile kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii. Bila shaka mu...
10 years ago
Bongo502 Jan
New Video: Nedy Music — Nenda Salama
Video mpya kutoka kwa msanii Nedy Music wimbo unaitwa “Nenda Salama” video imeongzwa na Abas Adam
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Je waweza kwenda utupu? nenda Mpenjati
Kwa wale wenye mapenzi ya kubakia utupu watakavyo, wamefunguliwa pwani yao huko Afrika Kusini wajiachie watakavyo,watoto nao ruksa
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/chopa.jpg)
ERIC SHIGONGO: NENDA KAMANDA WANGU DEO
Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa kwa tiketi ya CCM, Deogratias Filikunjombe, enzi za uhai wake akipanda chopa yake. Nakupenda Deo Nimesikitishwa sana na kifo chako. Kweli kifo kipo na kila mmoja wetu atakipitia lakini cha aina hii, cha kijana aliyekuwa akipigania watu wake kiasi hiki? Kinaumiza sana, hata hivyo, hatuna budi zaidi ya kukubali kuwa Deo Filikunjombe, jembe la mkono limeondoka. Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe,...
10 years ago
MichuziKILIMANJARO WALIVYOZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2WVOjBxtIYU/default.jpg)
Official VIDEO | Chief Maker - Nenda Kamwambie
Singer Name:- Chief Maker
Song Name:- Nenda Kamwambie
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- Abdul Omary
Song Name:- Nenda Kamwambie
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- Abdul Omary
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania