Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Neruma Bunda wawatosa wakopeshaji binafsi

KUTOKANA na kuibuka kwa wakopeshaji binafsi wanaotoza riba kubwa kwa watu wanaokopeshwa fedha, wakulima, wafanyabiashara na watumishi wa serikali Kata ya Neruma, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wameamua kuanzisha Chama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki:Wakopeshaji wanataka kutudhulumu

Waziri wa fedha nchini Ugiriki ametoa taarifa siku moja kabla ya kuandaliwa kwa kura ya maoni juu ya mpango wa kulipa deni lake.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI BUNDA

 Toyota Coaster lenye namba za usajili T 399 BYC lililokuwa likitokea Musoma kwenda Bunda likiwa limepata ajali mchana huu eneo la Bitaraguru, Bunda mkoani Mara. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi hilo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Bunda wapongezwa

WADAU mbalimbali wamelipongeza Jeshi la Polisi wilayani Bunda mkoani Mara kwa kudhibiti majambazi yaliyokuwa yameteka gari la halmashauri ya wilaya hiyo. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati na maeneo tofauti na...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Bulaya alikoroga Bunda

UAMUZI wa vikao vya juu vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwapitisha wagombea ubunge bila ridhaa ya wanachama huenda ikaathiri mwenendo wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda.

Taarifa kutoka jimboni humo zinasema kwamba uteuzi wa Esther Bulaya aliyeanguka kwenye kura za maoni jimboni humo, umekipasua chama hicho baada ya viongozi wote wa juu jimboni humo kusimamishwa kazi na baadaye kutangaza kuachia madaraka.

Esther alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kabla ya kuamua...

 

10 years ago

Vijimambo

Bunda funding complete

Wanafunzi wakiwa darasani kujifunza matumizi ya computer kwa kupitia nguvu za solar power mpango huu wa kusambaza huduma hiyo shule za vijijini ambako hakuna umeme unasimamiwa na powering potential C.E.O ni Janice Lathen janicelathen@poweringpotential.org na kupitia misaada ya watu  waishio Marekani.You did it! You completed the funding for an implementation at three schools in the Bunda District near Lake Victoria in Tanzania. Congratulations!
Thank you to the following organizations and...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA BUNDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Sanya William ambaye ni mlemavu na wanawe Mussa, Nasma na Dickson baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bunda alikonda kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakati aliposimama kwa muda mfupi kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Mwanza akitokea Bunda alikoweka jiwe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali Bunda yakemea ukabila

MKUU wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, amekemea ubaguzi wa kikabila kati ya Wajaluo na Wajita, ulioanza kujitokeza katika Kijiji cha Karukekere, kilichoko wilayani Bunda, mkoani Mara. Mirumbe, alitoa onyo...

 

10 years ago

Daily News

28 aspirants to contest Bunda seats


28 aspirants to contest Bunda seats
Daily News
A TOTAL of 28 CCM parliamentary aspirants will contest for Bunda Urban and Bunda Rural constituencies, it has been disclosed here. According to CCM District Secretary, Ms Margareth Mtatiro, 12 aspirants will contest for Bunda Urban constituency, ...

 

10 years ago

TheCitizen

Bulaya shuns Bunda contest

Anxiety has gripped Bunda town since Sunday after outspoken Special Seats MP Esther Bulaya, who had earlier said she would seek CCM endorsement to vie for the Bunda Urban seat, announced in her facebook account that she has changed her mind and contest for Bunge via the Opposition.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani