NEW MOVIE: "DUNIA" FROM AKIM MASTERS FILM
![](http://1.bp.blogspot.com/-XguOIwLK7tM/VfsGgatJKlI/AAAAAAAADgw/0WEHtlFJo00/s72-c/IMG-20150828-WA0004.jpg)
Filamu ya dunia kutoka AKIM MASTER FILMS ni filamu inayoelezea maisha ya wanaomtumikia Mungu maisha yao jinsi yalivyo, maisha ya wanaomtumikia shetani na pia maisha ya watu wanaomtumikia Mungu huku nyuma ya pazia wanamtumikia shetani. Filamu hii imeandaliwa na kusambazwa na AKIM MASTERS FILMS ambao pia walitengeneza filamu iliyofanya vizuri sokoni ya CHINI YA JUA
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-_Jam-L3SNLw/Vbt9FmhcRMI/AAAAAAAAC_E/HeJsYEfj3Rw/s72-c/IMG-20150727-WA0034.jpg)
NEW MOVIE: CHINI YA JUA "UNDER THE SUN" FROM AKIM MASTERS FILM
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Jam-L3SNLw/Vbt9FmhcRMI/AAAAAAAAC_E/HeJsYEfj3Rw/s640/IMG-20150727-WA0034.jpg)
Chini ya Jua "Under The Sun" is a scary movie that reflects that situation when a person face challenges in life and feel like God is not on his side anymore.
That situation leads him to seek success in life through the darkness side by killing innocent people.
This movie is made in Tanzania and it is distributed by AKIM MASTER FILMS.
Chini ya jua ni filamu ya kutisha inayoonyesha mazingira ya kitanzania pale mtu anapokumbana na mitihani na kuona kama Mungu amemsahauna kuamua kuabudu miungu...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-qhInol0YB7A/VbZxfdvzm7I/AAAAAAAAC54/XtAEw1BnRbo/s72-c/IMG-20150727-WA0033.jpg)
NEW MOVIE: "HISIA" FROM AKIM MASTER FILM
![](http://4.bp.blogspot.com/-qhInol0YB7A/VbZxfdvzm7I/AAAAAAAAC54/XtAEw1BnRbo/s640/IMG-20150727-WA0033.jpg)
Filamu mpya ya kusisimua HISIA imeingia rasmi sokoni tarehe 27/07/2015 na kusambazwa na kampuni ya AKIM MASTERS FILM ndani na nje ya nchi.
Filamu hii imeelezea undani wa sanaa na wasanii pia. Inaelezea uhalisia uliopo pale mtu anapoingia katika sanaa na kudharaulika na badae anapofanikiwa kuanza kusifiwa kila kona. Pia inaeleza namna ambavyo vijana wanavyowaona na kuwachukulia wasanii kwa namna wanavyowaona katika Tv na maonyesho bila kujua undani na uhalisia wa maisha yao.
Waigizaji wakuu...
5 years ago
The Guardian11 Mar
Edinburgh film festival organisers submit plan for £50m movie centre
5 years ago
CinemaBlend23 Feb
Why Ben Affleck Is Nervous To Film His New Movie With Matt Damon, Adam Driver, And Jodie Comer
11 years ago
CloudsFM29 May
RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Msanii mwingine Bongo Movie afariki dunia
IKIWA zimepita siku chache tangu msiba wa mwigizaji na muongozaji filamu za Kibongo, Adam Kuambiana, mwigizaji mwingine, Rachel Haule ‘Recho’, amefariki dunia jana asubuhi. Inaelezwa kifo cha Recho kimesababishwa na...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
George Tyson wa Bongo Movie afariki dunia
MTAYARISHAJI na muongozaji mkuu wa kipindi cha televisheni cha ‘The Mboni Show’ kinachorushwa na Kituo cha EATV, George Otieno Okumu ‘Geogre Tyson’, amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mjini...
10 years ago
Vijimambo08 Feb
MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA LEO
![](http://api.ning.com/files/IR6j1-Mhm*W99toUtkCEzR4OIBxb1Yegwq1OSVuQ7pTIpQ*85*b-QUVitNpA-D3F2TCrhcJP0owTAhH6wTe8SHAbLJ4mvIGC/IMG20150207WA0022.jpg?width=550)
![](http://api.ning.com/files/IR6j1-Mhm*UjTJpo9JIEKobFCswrtAaRWSCXUyQ*sLeH7Ymvzb1cAljJBooE8*jGLIqeOiQzRWAPX*CfJaKNNWRCRnf*s0DO/IMG20150207WA0000.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/IR6j1-Mhm*V9mgtjoeDJVV*ve80kqiWFVxs-P658a9QdrbICI43nUkYuESH3MFFgttaDCFjuJXS1lEI3p7oEC6c*oWu1zpRm/IMG20150207WA0017.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/IR6j1-Mhm*UEiilxLUNHe92*xE0AWYZnXZVQCDHoT-3FeQE-45qecJh8fFvmrk-Ic2k0LwWrJy7FuQrjFFNRlkCXSOzj2l-1/IMG20150207WA0008.jpg?width=650)
11 years ago
CloudsFM05 Aug
BONGO MOVIE KUWASOMEA DUA WASANII MBALIMBALI WALIOFARIKI DUNIA
Wasanii wa Bongo movie wanatarajia kufanya hitma ya wasanii mbalimbali waliofariki dunia katika uwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 16 mwezi huu.
Akizungumza na leo tena, Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Nyerere alisema kuwa katika hitma hiyo watakuwepo wageni mbalimbali kama Sheikh Mkuu wa Mkoa na wachungaji mbalimbali, Mama Salma Kikwete, Mama Pinda na wengineo na hitma hiyo itaanza kuanzia saa nne asubuhi.