Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Mozeh Thomas – Nimebadilika

Mozeh cover

Baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Nimebadilika’ Jumatatu wiki hii, Mozeh Thomas ameachia audio yake. Wimbo huo umetayarishwa na producer Nusder chini ya studio ya Sweseka Production ya Dar es salaam. Mozeh ni msanii anayechipukia kutoka jijini Mwanza.

Mozeh cover

NIMEBADILIKA

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

New Video: Mozeh Thomas – Nimebadilika

mozeh

Mozeh Thomas ni msanii mpya kwenye kiwanda cha muziki cha Bongo fleva kutoka Rock City, Mwanza ambaye ameachia rasmi video ya kazi yake ya kwanza ‘Nimebadilika’. Video imefanywa na Man Rasheed na Khalfani na wimbo umetayarishwa na producer Nusder. Mozeh yupo chini ya Sweseka Production ya jijini Dar es salaam.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Ama G – Nimebadilika

59ecd0dc-6b19-4fc3-a29a-b2e43b1c3d49

Wimbo mpya wa msanii Ama G unaitwa “Nimebadilika”. Producer Maneck

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mr. Blue: Tangu niwe na familia nimebadilika sana

HERRY Sameer  maarufu kama  Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya nchi.

Alipata  umaarufu baada ya kutoa  wimbo  uitwao ‘Mr. Blue’ ambao ulimjengea jina katika  tasnia ya muziki wa Bongo fleva  na kuendelea kutoa nyimbo nyingine kama Mapozi zilizofanya vizuri kwenye chati  za muziki huo.

Kazi za Mr.Blue bado  zinakubalika ikiwa  siku hizi amejikita zaidi kwenye muziki wa Hip Hop akiwa na kundi lao la...

 

10 years ago

GPL

STARA THOMAS AFUMANIWA!

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Risasi
HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzikazti alinusa kwenye gospo ‘ikamshinda', Stara Thomas anadaiwa kufumaniwa na mumewe, Raumu Ally mpaka kufikishana polisi, Risasi Jumamosi halipitwagi na ‘ubuyu’. Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe. Kwa mujibu wa shuhuda wa kuaminika, tukio hili lilijiri hivi karibuni nyumbani kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Thomas Tabane ahofia mapinduzi

Thomas Tabane ahofia kupinduliwa Lesotho.

 

11 years ago

GPL

BONDIA THOMAS MASHALI APATA AJARI

Bondia Thomas Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni. Bondia Thomas Mashali wa tatu kushoto akiwa na baadhi tya ndugu na jamaa akiuguza majeraha ya vidonda baada ya kupatas ajari hivi karibuni.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti:Thomas Sankara aliuwawa kinyama

Matokeo ya ukaguzi wa kimatibabu uliofanyiwa mabaki ya mwili wa aliyekuwa rais wa Burkina Faso marehemu Thomas Sankara yanaonyesha kuwa mwili wake ulijaa risasi

 

9 years ago

Bongo5

Afya ya Tuddy Thomas yaendelea kuimarika

Mtayarishaji wa muziki Tuddy Thomas aliyevamiwa hivi karibuni na vibaka na kukatwa mapanga akiwa nje ya maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam, anaendelea vizuri. Tuddy amesema tayari ameshaanza kufanya mazoezi madogo madogo ili kuimarisha afya yake. “Naendelea salama ingawa bado sijakaa vizuri, nafanya mazoezi, kwa sababu niliumia mikono yote,” Tuddy alikiambia kipindi cha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani