Music: Ama G – Nimebadilika
Wimbo mpya wa msanii Ama G unaitwa “Nimebadilika”. Producer Maneck
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Dec
New Music: Mozeh Thomas – Nimebadilika
![Mozeh cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Mozeh-cover-1-300x194.jpg)
Baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Nimebadilika’ Jumatatu wiki hii, Mozeh Thomas ameachia audio yake. Wimbo huo umetayarishwa na producer Nusder chini ya studio ya Sweseka Production ya Dar es salaam. Mozeh ni msanii anayechipukia kutoka jijini Mwanza.
9 years ago
Bongo514 Dec
New Video: Mozeh Thomas – Nimebadilika
![mozeh](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/mozeh-300x194.jpg)
Mozeh Thomas ni msanii mpya kwenye kiwanda cha muziki cha Bongo fleva kutoka Rock City, Mwanza ambaye ameachia rasmi video ya kazi yake ya kwanza ‘Nimebadilika’. Video imefanywa na Man Rasheed na Khalfani na wimbo umetayarishwa na producer Nusder. Mozeh yupo chini ya Sweseka Production ya jijini Dar es salaam.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/H-Ozf9Oxfqo/default.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Mr. Blue: Tangu niwe na familia nimebadilika sana
HERRY Sameer maarufu kama Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya nchi.
Alipata umaarufu baada ya kutoa wimbo uitwao ‘Mr. Blue’ ambao ulimjengea jina katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva na kuendelea kutoa nyimbo nyingine kama Mapozi zilizofanya vizuri kwenye chati za muziki huo.
Kazi za Mr.Blue bado zinakubalika ikiwa siku hizi amejikita zaidi kwenye muziki wa Hip Hop akiwa na kundi lao la...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/s7s9Z08DG1xaEcYHXR1DpIE94btGkpviY9JlAiyZRRbC54CiTwEEuPqgnHSQPZ9FpMJEnpGZFd-gbvenNf6Vg1UwD*e3FEza/venessanajux.jpg?width=650)
WAMEROGWA AMA?
10 years ago
Bongo515 Sep
New Video: Ama G — Anatamani
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Sukari ama chumvi?
10 years ago
Vijimambo20 Mar
Zitto: Mwisho ama mwanzo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-20March2015.jpg)
Baadaye Zitto alikwenda bungeni katika kikao cha jioni kwa ajili ya kuwaaga wabunge wenzake na kuwaeleza sababu za uamuazi wake.
Hata hivyo, kabla ya kuwasili bungeni akisubiri kupewa fursa ya kuwaaga wabunge, aliwaeleza waandishi wa habari kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda amemzuia kuchukua uamuzi huo na kwamba yeye (Zitto) alikuwa akiendelea kumshawishi...
10 years ago
BBCSwahili22 Nov