Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAMEROGWA AMA?

Jux na Vee Money. Andrew Carlos PATA picha upo eneo tulivu, masikioni umeweka ‘headphones’ na unasikiliza nyimbo za wakali wa muziki Bongo, unaanza na nyimbo za Juma Musa ‘Jux’ kisha unafuatia za mkali wa Hip Hop, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’.Hamu inakuwa haijaisha vizuri kwa upande wa Hip Hop, unaamua kusikiliza nyimbo za Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ kisha unachukuwa juisi na kumalizia fundo la mwisho. Nikki wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Ama G – Nimebadilika

59ecd0dc-6b19-4fc3-a29a-b2e43b1c3d49

Wimbo mpya wa msanii Ama G unaitwa “Nimebadilika”. Producer Maneck

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Mwananchi

Sukari ama chumvi?

Nakuomba editori, utangaze vitu hivi, Naandika ushairi, kwa furaha si ugomvi, Asili ya kusubiri, ni utowe utauvi, Ama sukari na chumvi, chumvi ni kitu muhimu.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Ama G — Anatamani

Kazi Mpya kutoka kwa msanii Ama G wimbo unaitwa “Anatamani” video imeongozwa director Nisher

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,ni Wellbeck ama Van Persie?

Je,Welbeck atageuka na kuwa mwiba dhidi ya kilabu yake ya zamani?

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Mwisho ama mwanzo.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto, jana alitangaza kujiuzulu ubunge kwa kusambaza waraka kwa vyombo vya habari.

Baadaye Zitto alikwenda bungeni katika kikao cha jioni kwa ajili ya kuwaaga wabunge wenzake na kuwaeleza sababu za uamuazi wake.

Hata hivyo, kabla ya kuwasili bungeni akisubiri kupewa fursa ya kuwaaga wabunge, aliwaeleza waandishi wa habari kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda amemzuia kuchukua uamuzi huo na kwamba yeye (Zitto) alikuwa akiendelea kumshawishi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ama Tibisii mtoto si rizki

Jabir Idrissa, KARIBU msomaji usikilize taarifa ya khabari inayowajia kutokea hapa Bwagamoyo. Khabari ya Kwanza – Tarehe 5 Oktoba 2015 –Taarifa ya Khabari ya Saa 2 usiku ya shirika letu la utangazaji la TBC1 ambalo tunaligharamia […]

The post Ama Tibisii mtoto si rizki appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Ama zao au zetu — Lowassa

MGOMBEA urais wa Chadema ambaye pia anawakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema vyama vinavyounda umoja huo visipochukua dola katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, havitaweza kuchukua tena kwa miaka 50 ijayo.

Akizungumza Makao Makuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) Buhuruni jijini Dar es Salaam jana mbele ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kumpokea alipofika katika ofisi hizo kwa mara ya kwanza, Lowassa alisema ni lazima Ukawa wahakikishe wanashinda...

 

11 years ago

GPL

AMA KWELI UZEE MWISHO CHALINZE!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Amakweli dunia imekwisha! Watu wa Dar es Salaam wanasema uzee mwisho Chalinze, Dar es Salaam kila mtu baby, kauli hiyo ilitimia usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita baada ya mmiliki wa Gesti ya GLP ya Mabibo Mwisho jijini Dar es Salaam, Amos Makelle kunaswa kitandani usiku wa manane na mfanyakazi wake aitwae Tina. Babu Amos Makelle baada ya kunaswa akiwa kitandani  na mfanyakazi wake aitwae...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani