Ama zao au zetu — Lowassa
MGOMBEA urais wa Chadema ambaye pia anawakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema vyama vinavyounda umoja huo visipochukua dola katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, havitaweza kuchukua tena kwa miaka 50 ijayo.
Akizungumza Makao Makuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) Buhuruni jijini Dar es Salaam jana mbele ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kumpokea alipofika katika ofisi hizo kwa mara ya kwanza, Lowassa alisema ni lazima Ukawa wahakikishe wanashinda...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/s7s9Z08DG1xaEcYHXR1DpIE94btGkpviY9JlAiyZRRbC54CiTwEEuPqgnHSQPZ9FpMJEnpGZFd-gbvenNf6Vg1UwD*e3FEza/venessanajux.jpg?width=650)
WAMEROGWA AMA?
10 years ago
Bongo515 Sep
New Video: Ama G — Anatamani
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Sukari ama chumvi?
9 years ago
Bongo521 Nov
Music: Ama G – Nimebadilika
![59ecd0dc-6b19-4fc3-a29a-b2e43b1c3d49](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/59ecd0dc-6b19-4fc3-a29a-b2e43b1c3d49-300x194.jpeg)
Wimbo mpya wa msanii Ama G unaitwa “Nimebadilika”. Producer Maneck
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”
![](http://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/polepole.jpg?resize=702%2C702)
HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO
![](http://i2.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/Msigwa.jpg?resize=595%2C300)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Ama Tibisii mtoto si rizki
Jabir Idrissa, KARIBU msomaji usikilize taarifa ya khabari inayowajia kutokea hapa Bwagamoyo. Khabari ya Kwanza – Tarehe 5 Oktoba 2015 –Taarifa ya Khabari ya Saa 2 usiku ya shirika letu la utangazaji la TBC1 ambalo tunaligharamia […]
The post Ama Tibisii mtoto si rizki appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo20 Mar
Zitto: Mwisho ama mwanzo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-20March2015.jpg)
Baadaye Zitto alikwenda bungeni katika kikao cha jioni kwa ajili ya kuwaaga wabunge wenzake na kuwaeleza sababu za uamuazi wake.
Hata hivyo, kabla ya kuwasili bungeni akisubiri kupewa fursa ya kuwaaga wabunge, aliwaeleza waandishi wa habari kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda amemzuia kuchukua uamuzi huo na kwamba yeye (Zitto) alikuwa akiendelea kumshawishi...
10 years ago
BBCSwahili22 Nov