Sukari ama chumvi?
Nakuomba editori, utangaze vitu hivi, Naandika ushairi, kwa furaha si ugomvi, Asili ya kusubiri, ni utowe utauvi, Ama sukari na chumvi, chumvi ni kitu muhimu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje
Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...
10 years ago
Habarileo06 Feb
Chumvi yateketezwa
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza tani moja na nusu ya chumvi ya Sea Salt, inayozalishwa na Kampuni ya Sea Salt Food Limited ya Bagamoyo mkoani Pwani, kutokana na kuwa chini ya kiwango cha ubora kinachotakiwa.
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Wazalishaji chumvi watengewa mil 62/-
HALMASHAURI ya Wilaya ya Ikungi imetenga sh. milioni 62.8 kwa ajili ya kuwakopesha kinamama na vijana wanaozalisha chumvi kwa mwaka wa fedha 2014/15. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Umuhimu wa udhibiti wa chumvi kwenye mlo
9 years ago
Habarileo11 Sep
‘Ichagueni CCM ilete viwanda vya chumvi’
WAKAZI wa Mji wa Lindi wameshauriwa kukipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM) kishinde, kilete viwanda vya kusindika chumvi na kuiongezea thamani.
10 years ago
Mwananchi05 Feb
TBS yateketeza chumvi tani moja na nusu
10 years ago
Habarileo05 Nov
Mtoto achanwa viwembe, vidonda vyawekwa chumvi
POLISI mkoani hapa wanamshikilia Tausi Omary (30), mkazi wa kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi mtoto wa dada yake, Jafari Mashaka (11) kwa kumchanachana mguuni kwa wembe na kisha kuweka chumvi kwenye vidonda, kwa madai ya kumwimbia fedha kiasi cha Sh 4,500.
10 years ago
Habarileo02 Jan
TBS yafunga kiwanda cha chumvi Bagamoyo
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limefunga kwa muda usiojulikana kiwanda cha kuzalisha chumvi cha mjini hapa, Sea Salt Limited kutokana na udanganyifu na uzalishaji wa chumvi chafu, yenye kiwango kidogo cha madini joto.
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Acha kula chumvi nyingi kuepuka maradhi ya moyo