New Video: Big Sean — Dark Sky (Skyscrapers) (Explicit)
Rapper Big Sean ametoa video mpya ya wimbo wa “Dark Sky (Skyscrapers)”.Katika hii video Big Sean anaonekana akiwa juu ya lift katika jengo flani na akiwa anaelekea juu na mwendo wa taratibu ambao unaochukua muda mrefu, Jina la wimbo [Skyscrapers] maana yake ni majengo marefu.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Model aliyecheza video ya Big Sean na Chris Brown kuonekana kwenye video ya Mayunga
![12292729_1514452005519363_325519831_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12292729_1514452005519363_325519831_n-300x194.jpg)
Mayunga yupo nchini Marekani alikoenda kufanya wimbo na Akon. Wimbo huo ni sehemu ya mambo anayotakiwa kufanya baada ya kushinda shindano la Airtel Trace Music Star.
Tayari wawili hao wamesharekodi wimbo huo na kinachofuata sasa ni video ya muziki.
Alhamis hii Mayunga alieleza kupitia Instagram kuwa model atakayetumika kwenye video hiyo aliwahi kutumika kwenye video ya wimbo wa Big Sean na Chris Brown.
“Anaitwa @itsssvia unaweza kumtazama katika video ya big sean ft chris brown alionekana...
10 years ago
Bongo504 Dec
9 years ago
Bongo524 Nov
Video: Puff Daddy & The Family feat. Travis Scott & Big Sean – ‘Workin (Remix)’
![bs-workin](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/bs-workin-300x194.jpg)
Baada ya kuachia album yake ya MMM, Mkurugenzi wa lebo ya Bad Boy Entertainment, P Diddy ameachia video mpya ya remix ya “Workin”. Amewashirikisha Travis Scott na Big Sean hii ni single inayopatikana kwenye Album hii mpya ya Diddy.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
5 years ago
CNET05 Apr
Apple bought Dark Sky app and Android users are bummed. Use these weather apps instead
5 years ago
9to5Mac05 Apr
This week’s top stories: Apple acquires Dark Sky, new iOS 14 features, iPhone 9 is imminent, more
5 years ago
CNBC31 Mar
Apple buys popular weather app Dark Sky and plans to shut down Android versions
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Nyumba ya Big Sean yavamiwa na majambazi
LOS ANGELES, MAREKANI
WIKI iliyopita ilikuwa ngumu kwa msanii wa muziki nchini Marekani, Big Sean, baada ya nyumba yake kuvamiwa na watu wasiojulikana.
Wakati wa tukio hilo la uvamizi msanii huyo hakuwepo nchini Marekani ambapo watu hao walifanikiwa kuchukua vitu mbalimbali vikiwamo pamoja na cheni za dhahabu na kompyuta ambayo ilikuwa na nyimbo zake mpya.
Msanii huyo amesema baada ya kupiga hesabu ya vitu ambavyo vimepotea kutokana na wizi huo thamani yake imefikia zaidi ya milioni...
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Ile Albamu ya Big Sean sasa imeiva
Pusha T
RAPA na Meneja wa lebel ya G.O.O.D Music, Pusha T amethibitisha kuwa album mpya ya Big Sean inaelekea kukamilika na itatolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka 2016.
Big Sean
Big Sean alishika nafasi ya juu kwenye chati na albamu yake ya tatu ya Dark Sky Paradise mwaka huu.
Kwa upande wake Pusha T alisema anaprojekti ya kuitangaza albamu yake mpya ya King Push – Darkest Before Dawn iliyoshika namba 20 kwenye billboard katika wiki yake ya kwanza, projekti itayomalizika Aprili kwenye miji...
9 years ago
Bongo507 Dec
Majambazi wavamia na kupora nyumbani kwa rapper Big Sean
![big-sean](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/big-sean-300x194.jpg)
Nyumba ya rapper Big Sean wa Marekani ilivamiwa na majambazi wakati akiwa nje ya nchi.
Kwa mujibu wa TMZ, wezi hao walivunja nyumba yake iliyopo jijini Los Angeles na kuvunja sehemu palipokuwa pamehifadhiwa vitu vya thamani. Walipora vidani vya madini vyenye thamani ya $150,000 pamoja na nyimbo ambazo bado hazijatoka.
Sean na wenzake wanaamini kuwa wizi huo umefanywa na watu wa karibu. Wezi hao walijua kuwa rapper huyo hakuwepo na walikuwa wanaijua vyema nyumba yake. Hadi sasa hakuna...