Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Neymar, Messi waacha mapengo

Lionel Messi na Neymar hawatakuwepo wakati Brazil na Argentina watakapokuwa uwanjani kusaka tiketi ya kwenda Urusi, miamba hiyo ya Amerika Kusini inaanza mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018 leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ngassa awafunika Messi, Neymar

>Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amewapiku nyota wa Barcelona, Lionel Messi, Neymar kwa ufungaji wa mabao kwa mwaka 2014, huku akiachwa na kinara wa ufungaji Cristiano Ronaldo kwa magoli matatu tu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo,Messi na Neymar wachuana Ballon

Ronaldo,Messi na Neymar wachuana Ballon d'Or

 

10 years ago

Mwananchi

Lionel Messi, Neymar waizamisha Bayern

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Hispania, Barcelona wametumbukiza mguu mmoja katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Bayern Munich.

 

9 years ago

Bongo5

Ronaldo, Messi na Neymar kuwania Ballon d’Or 2015

151130172052_ballon_640x360_d_nocredit

Majina ya wachezaji watatu watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka duniani yametajwa.

151130172052_ballon_640x360_d_nocredit

Wanaowania tuzo hiyo ni mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi wa Barcelona na Argentina na nyota wa Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior, anayeingia katika kinyang’anyiro hicho kwa mara ya kwanza.

Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kike ni kiungo wa timu ya taifa ya Marekani, Carli Lloyd, Aya Miyama wa Japan pamoja na Celia Sasic wa Ujerumani.

Jiunge na Bongo5.com...

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEYMAR: MESSI DESERVES TO WIN THIS YEAR'S BALLON D'OR


Neymar believes that Barcelona team-mate Lionel Messi deserves to win this year's Ballon d'Or.Cristiano Ronaldo has won the last two awards and is coming off the back of a season in which he netted a personal-best 61 goals.However, Messi netted 58 times in 57 appearances in all competitions as he inspired Barca to a historic treble, with the Catalans claiming La Liga, the Copa del Rey and the Champions League.

Consequently, Neymar believes that there is only one possible winner of the Ballon...

 

9 years ago

TheCitizen

Brazilian Neymar enjoying spotlight in Messi’s absence

Brazilian striker Neymar said he is in the form of his life after netting twice as Barcelona eased past BATE Borisov 3-0 in the Champions League on Wednesday.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014:Messi, Neymar, Mueller wasaka tuzo

Lionel Messi,Thomas Mueller na Neymar ni miongoni mwa wachezaji 10, waliotajwa kuwania tuzo ya kiatu cha dhahabu katika Kombe la Dunia mwaka huu.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …

December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Sentensi ya Ronaldinho kuhusu uchezaji wa Neymar, Messi, Suarez na Guardiola timu gani anaweza pata mafanikio

Bado headlines kuhusu kocha Pep Guardiola atafundisha timu gani msimu ujao zinazidi kushika kasi, najua umesikia kuwa kwa sasa Pep Guardiola atajiunga na klabu ya Machester City msimu ujao, lakini Chelsea wanatajwa kumuwania kocha huyo sambamba na klabu ya Manchester United wapinzani wa Man City. Kwa sasa wengi wanajiuliza ni timu gani sahihi kwa Pep […]

The post Sentensi ya Ronaldinho kuhusu uchezaji wa Neymar, Messi, Suarez na Guardiola timu gani anaweza pata mafanikio appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani