Sentensi ya Ronaldinho kuhusu uchezaji wa Neymar, Messi, Suarez na Guardiola timu gani anaweza pata mafanikio
Bado headlines kuhusu kocha Pep Guardiola atafundisha timu gani msimu ujao zinazidi kushika kasi, najua umesikia kuwa kwa sasa Pep Guardiola atajiunga na klabu ya Machester City msimu ujao, lakini Chelsea wanatajwa kumuwania kocha huyo sambamba na klabu ya Manchester United wapinzani wa Man City. Kwa sasa wengi wanajiuliza ni timu gani sahihi kwa Pep […]
The post Sentensi ya Ronaldinho kuhusu uchezaji wa Neymar, Messi, Suarez na Guardiola timu gani anaweza pata mafanikio appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Brazil 2014: Ronaldinho feki amvamia Lionel Messi akiwa mazoezini
5 years ago
Mirror Online10 Apr
Lionel Messi slams claims of Barcelona transfer exit and Ronaldinho bail as 'fake news'
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni […]
The post Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Neymar, Messi waacha mapengo
11 years ago
Mwananchi14 May
Ngassa awafunika Messi, Neymar
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
10 years ago
Mwananchi07 May
Lionel Messi, Neymar waizamisha Bayern
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Guardiola ampigia simu Messi kwa Siri, amshauri asiondoke Barcelona
PEP Guardola amemshauri mshambuliaji Lionel Messi kubakia Barcelona akimtaka nyota huyo wa Argentina kuwa mtulivu na kuonyesha imani kwa mipango ya kocha wake wa sasa, Luis Enrique.
Wiki iliyopita mchezaji huyo aliyewahi kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka mara nne, aliweka wazi kuwa huenda akaondoka Camp Nou baada ya kukiri kuwa hajui atakuwa wapi msimu ujao.
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Manchester City wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kumwaga fedha ili kumnasa mchezaji huyo,...