Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngeleja: Wapinzani wazushi

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameitaka Kambi Rasmi ya Upinzani, kuijibu Serikali kwa kutumia takwimu badala ya kuwalisha Watanzania takwimu za kupika. Alisema hayo juzi usiku alipokuwa akichangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, ambapo alitoa mifano ya nchi zilizoendelea ambako umasikini haujaondoka, kujenga hoja kuwa umasikini unaondoka katika mchakato na si suala la kuondoka siku moja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NGELEJA: SERIKALI ZA MITAA TUMEWAKIMBIZA WAPINZANI

Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja. Stori: Erick Evarist
MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja ameweka wazi kuwa pamoja na ushindani kuwa mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni, anajivunia ushindi mzito walioupata kupitia chama chake. Uchaguzi huo ulifanyika nchi nzima Desemba 14, mwaka huu ambapo licha ya kasoro ndogondogo zilizojitokeza katika baadhi ya maeneo na kusababisha...

 

10 years ago

Deal

Ngeleja explains 40m/


Ngeleja explains 40m/- deal
Daily News
SENGEREMA Member of Parliament (MP) William Ngeleja denied receiving 40m/- from a local firm, VIP Engineering and Marketing Limited, which had a stake in the Independent Power Tanzania Limited (IPTL). “According to a bank statement from Mkombozi ...

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto: Ngeleja anatapatapa

ngelejaFredy Azzah na Patricia Kimelemeta
SIKU moja baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), kumtumia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe katika utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kiongozi huyo amesema mtuhumiwa huyo anatapatapa.
Kauli hiyo ya Zitto imekuja siku moja baada ya kutoa maelezo yake mbele ya baraza kama njia ya kujinasua kwenye kashfa ya kunufaika na mgawo wa Sh milioni 40 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta...

 

10 years ago

TheCitizen

Ngeleja: Yes, I took Escrow cash, but...

>Former Cabinet minister William Ngeleja found himself on the spot yesterday over Sh40.4 million he reportedly received from controversial Dar es Salaam businessman James Rugemalira.

 

11 years ago

Habarileo

Ngeleja amponda Mbowe

MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja amesema Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe hakutenda haki kuzungumzia masuala ya Bunge la Katiba katika Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano Tanzania.

 

10 years ago

Deal

Ngeleja Explains 40 Million/


IPPmedia
Ngeleja Explains 40 Million/ - Deal
AllAfrica.com
SENGEREMA Member of Parliament (MP) William Ngeleja denied receiving 40m/- from a local firm, VIP Engineering and Marketing Limited, which had a stake in the Independent Power Tanzania Limited (IPTL). "According to a bank statement from Mkombozi ...
Denies alleged source, discredits alleged account numberIPPmedia

all 3

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja awa kivutio bungeni

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba juzi walishindwa kuzuia hisia zao za mapenzi na kuvutiwa na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, mara baada ya kutajwa jina lake kwenda kuapishwa. Ngeleja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Naheshimu uamuzi wa CCM

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amesema anaheshimu adhabu aliyopewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hivyo hayupo tayari kuzungumzia masuala ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. CCM iliwaadhibu makada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani