Ngeleja: Watanzania wananitakia mema
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amesema Watanzania wanajua uwajibikaji wa kila mwanasiasa ndani na nje ya Bunge. Ngeleja, alitoa kauli hiyo juzi mara baada ya kumaliza kuwasilisha maoni ya kamati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
UNESCO yaibashiria mema Tanzania
RIPOTI mpya ya utafiti wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), iliyofanyika chini ya taasisi yake ya Takwimu (UIS), imebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi duniani...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Mbeki: Msiache kuenzi mema ya Mandela
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mandela atazikwa na mema yake aliyotufundisha?
SASA ni hakika kwamba mtu mashuhuri zaidi Afrika amefariki. Nelson Mandela amefariki na atazikwa leo. Ni kama dunia imetikisika. Viongozi wa Afrika nao wameonekana wakihuzunika na wameongea kwa masikitiko. Mandela...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
‘Waleeni watoto katika maadili mema’
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Titus Mdoe, amewataka waumini wa kanisa hilo kuwalea watoto katika maadili yanayompendeza Mungu ili waweze kupata viongozi bora watakaosimamia haki...
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Mjengee msingi wa maadili mema mwanao
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Muhongo haitakii mema nchi — Mengi
MWENYEKITI wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, amemshambulia tena Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, akidai kuwa haitakii mema nchi kutokana na kugawa vitalu vyote 27 vya gesi...
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Tunawatakia maadhimisho mema ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
‘Wazazi leeni watoto katika maadili mema’
MSAIDIZI Mkuu wa mahabusu ya watoto iliyopo Upanga, Dar es Salaam, Magreth Minja, amewataka wazazi kuwalea watoto katika maadili mema ili kuepukana na vitendo viovu. Amesema kwa sasa vitendo vya...
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Wito watolewa wazazi kuwajengea maadili mema watoto
Diwani wa kata ya Issuna wilaya ya Ikungi,Stephano Misai,akizungumza kwenye mahafali ya kwanza ya darasa la saba shule ya msingi Unyahati iliyopo kijiji cha Muungano .Mgeni rasmi huyo amezitaka shule za msingi na sekondari zenye bahati ya kuwa karibu na huduma ya umeme, kuweka nishati hiyo kwa ajili ya wanafunzi kujifunza kompyuta. Wa kwanza kushoto (aliyekaa) ni Chiku Alli raia wa Norway aliyekusanya fedha kutoka kwa raia wa Norway na kugharamia ujenzi wa shule ya Unyahati. Kulia ni...