Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGEMELA: CCM INAUNGA MKONO MAZUNGUMZO KUHAKIKISHA SAHARAWI INAPATA UHURU BILA VITA

CCM, Lumumba
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaunga mkono mazungumzo yanayoendelea katika nyanja za kimataifa kuhakikisha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Saharawi inapata Uhuru kwa sababu vita vina gharama kubwa ikiwa ni pamoja na kuua watu wasio na hatia

Kimebainisha kuwa wakati wote kimekuwa kikisimamia Haki na Usawa kwa Imani yake kwamba Binadamu wote ni sawa. 

Hayo yamesemwa na Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga wakati akizungumza na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli -Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema chama kinaunga mkono utendaji kazi wa Rais John Magufuli, ikiwamo kuhakikisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zinasimamia ipasavyo ulipaji wa kodi.

 

10 years ago

Habarileo

Ataka Serikali kuhakikisha uhuru wa habari kusaidia wananchi

Mwanahabari Nguli nchini, Jenerali Ulimwengu.MWANDISHI mkongwe Jenerali Ulimwengu alinyakua tuzo ya Utumishi Uliotukuka katika Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kutokana na mchango wake katika tasnia ya habari na kukemea maovu bila woga kwa kutumia kalamu yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita ya dondosha ‘mkono wa sweta’ na imani potofu

Wakati Serikali ikihimiza tohara ya mwanamume kama mbinu mojawapo mahususi ya kujikinga na maambukizi ya Ukimwi, bado zipo imani potofu zinazokinzana na juhudi hizo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhuru Kenyatta: Mazungumzo na Marekani hayataathiri makubaliano ya biashara huru Afrika

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenyeji wake Donald Trump wa Marekani wamekutana na kuratibu majadiliano ya mkataba wa biashara huru kati ya mataifa hayo mawili.

 

10 years ago

Dewji Blog

Apollo yaunga mkono vita dhidi ya magonjwa ya moyo

oragan-donation

Magonjwa ya moyo ni miongoni ya magonjwa duniani yanayosababisha vifo vya watu milioni 17.3 kulingana na takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO).  Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa tarehe 29 Septemba kila mwaka kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo ikiwa na kauli mbiu kadha wa kadha kila mwaka. Ikiwa ni idadi kubwa ya wagonjwa wa moyo Tanzania wanaosasifiri kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu, Hospitali ya Apollo ya India ilifanya jitihada za kina kuanzisha hospitali ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msama aungwe mkono katika vita hii ngumu

TASNIA ya sanaa kwa ujumla wake, si burudani tu bali ni ajira kwa wenye vipaji wanayoweza kuitumia katika kuendesha maisha yao kama ilivyo kwingineko duniani. Lakini, kwa hapa nchini bado...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAJIDHATITI KUIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA

 Meneja Mkuu wa Benki ya Exim tawi la Arusha Bw. Fredrick Umiro (kulia) akikabidhi vyandarua vyenye dawa kwa Mtaalamu wa masuala ya upasuaji katika hospitali ya  Mount Meru iliyopo jijini Arusha,  Dkt. Zubera Mtengwa (wa pili kushoto).Wakishuhudia pembeni ni Meneja Mauzo wa benki ya Exim Arusha Bw Bw. Assed Ali Naqvi (kushoto)na wawakilishi kutoka hospitali hiyo.Msaada huo ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani inayoadhimishwa kote ulimwenguni Aprili 25 ya kila mwakaMganga Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMA KUHAKIKISHA CHAMA KINABAKI IMARA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wana CCM wa Tawi la Kijito Upele jimbo la Fuoni.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wana CCM wa tawi la Tungujani.
 
 Wana CCM wa Jimbo la Kiembesamaki wakionyesha ujumbe wa kuunga mkono Katiba iliyopendekezwa.

 Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM (Zanzibar) Shaka Hamdu Shaka akihutubia wakazi wa Jimbo la Dimani kwenye uwanja wa Magereza Tomondo.

 Balozi Ali Karume akihutubia wakazi wa jimbo la Dimani ambapo aliwaambia Katiba...

 

9 years ago

Michuzi

KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU

 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani