Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngorongoro yaing’oa Kenya

TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, jana ilifanikiwa kuiondoa Kenya kwa penalti 4-3 katika michuano ya kuwania kufuzu kwa fainali za Afrika kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ngorongoro Heroes kuivaa Kenya leo

Timu ya soka ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, inajitupa uwanjani leo kuumana na Kenya katika mchezo wa marudiano wa kufuzu kwa Fainali za Afrika kwa vijana.

 

11 years ago

Michuzi

NGORONGORO HEROES YAIFUNGA KENYA KWA PENALT 4-3

 Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kushoto), akimtoka beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani.Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.  Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kulia), akichuana na  beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika...

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaing’oa Yanga kileleni

Azam wamekalia usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya  Yanga kulazimishwa sare 0-0 na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzanite yaing’arisha Tanzania kimataifa

Wadau mbalimbali wa madini ya vito waliopata bahati kutembelea Banda la Tanzania katika siku ya kwanza ya Maonesho ya 54 ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Bangkok, wakishangazwa na mng’ao wa Kito cha Tanzanite katika Pete iliyovalishwa kidoleni mwa Mwanafunzi, Raia wa Thailand aliyeomba kujaribisha Pete hiyo. Anayetoa maelezo ni Mfanyabiashara wa Madini ya Vito kutoka Tanzania, Bw. Gregory Kibusi (Mwenye mavazi ya Bhatiki).Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito...

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano ya rushwa yaing’arisha Tanzania

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za juu ulimwenguni katika harakati za kuzuia na kupambana na rushwa pamoja na masuala ya utawala bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yaing’ang’ania Uda

>Mabasi mengine 25 ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), yamekamatwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Majini na Baharini (Sumatra), kutokana na kuendelea kukaidi amri ya kuwataka wafuate sheria za usafirishaji wa abiria jijini.

 

9 years ago

Habarileo

Abajalo yaing’oa Zakhem Kombe la Magufuli Taswa

TIMU ya soka ya Abajalo imefanikiwa kukata tiketi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Magufuli kwa kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Zakhem kwenye mechi mbili walizocheza kwa mtindo nyumbani na ugenini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani