NHIF KUWEKEZA VITUO VYA MFANO KIGOMA, MTWARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-7r2hSFWKpOQ/Vif7LtBzJHI/AAAAAAAIBk0/HMfBkKVxiHk/s72-c/1.jpg)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mikakati ya Mfuko huo ya ujenzi wa Vituo vya mfano vya matibabu.
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuanza ujenzi wa vituo vya matibabu vya mfano katika mikoa ya Mtwara na Kigoma katika mwaka huu wa fedha wa 2015/2016.
Mikakati hiyo imesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNHIF YAFANYA ZIARA KWENYE VITUO VITATU VYA AFYA WILAYANI KISARAWE, PWANI
na kutoa msaada wa mashuka 100.
Akizungumza wakati za ziara hiyo, Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko huo, Rehani Athuman, alisema kuwa wameamua kufanya ziara hiyo kujua ni namna gani wananchi wanapatiwa kuduma kutoka...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EcKodtFMZt0/VR0s8h36m-I/AAAAAAAAGw0/wY957-ymuIg/s72-c/P4029026.jpg)
WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EcKodtFMZt0/VR0s8h36m-I/AAAAAAAAGw0/wY957-ymuIg/s1600/P4029026.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Dodoma, Mtwara mfano bora uagizaji dawa
NAIBU Waziri wa Afya Dk. Steven Kebwe ameipongeza mikoa ya Dodoma na Mtwara kwa kuwa na wazabuni wa dawa ambao huifanya mikoa hiyo kutokuwa na ukosefu wa dawa pindi Bohari...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Mkabogo: Kijiji cha kupigiwa mfano kielimu Kigoma
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QfI_fBaDwXY/XvRiYICQ32I/AAAAAAALvV4/5pS8E-rlm9wWJ6xYXMwCYjkWqqSK_cPMQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200623_145254_9.jpg)
Waziri Kairuki apongeza kampuni ya Qwihaya kuwekeza mkoa wa Kigoma
Alisema...
9 years ago
Habarileo31 Aug
NHIF Kigoma yakabidhi mashuka 50
IMEELEZWA kuwa mikopo ya vifaa tiba na vitendanishi inayotolewa na mfuko wa Taifa wa Bima ya afya imekuwa msaada mkubwa katika kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa vifaa katika vituo vya afya na hospitali mbalimbali nchini.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sCyHu_e6Os8/VXm79cVHOPI/AAAAAAAAPHc/dH_a-BG3Ao0/s72-c/MTWARA1.jpg)
WASIRA AWAIMIZA WAKAZI WA MTWARA KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA MAZAO YA KILIMO NA UVUVI
![](http://2.bp.blogspot.com/-sCyHu_e6Os8/VXm79cVHOPI/AAAAAAAAPHc/dH_a-BG3Ao0/s640/MTWARA1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sDhr9xPxS1Y/VXm8ZQPfM0I/AAAAAAAAPHk/HKW-54R1_T8/s640/MTWARA2.jpg)
Na Woinde Shizza
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira,amewahimiza wakazi wa Mtwara kuwekeza katika uzalishaji wa mazao ya kilimo na uvuvi ikiwa ni sehemu ya shughuli za kiuchumi zitakazowanufaisha kutokana na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sCyHu_e6Os8/VXm79cVHOPI/AAAAAAAAPHc/dH_a-BG3Ao0/s72-c/MTWARA1.jpg)
WASIRA AWAHIMIZA WAKAZI WA MTWARA KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA MAZAO YA KILIMO NA UVUVI
![](http://2.bp.blogspot.com/-sCyHu_e6Os8/VXm79cVHOPI/AAAAAAAAPHc/dH_a-BG3Ao0/s640/MTWARA1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sDhr9xPxS1Y/VXm8ZQPfM0I/AAAAAAAAPHk/HKW-54R1_T8/s640/MTWARA2.jpg)
Na Woinde Shizza
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira,amewahimiza wakazi wa Mtwara kuwekeza katika uzalishaji wa mazao ya kilimo na uvuvi ikiwa ni sehemu ya shughuli za kiuchumi zitakazowanufaisha kutokana na...
5 years ago
MichuziVIWANDA VIWILI VYA MFANO VYA UCHENJUAJI DHAHABU VYAZINDULIWA NCHINI