NHLANHLA NCIZA WA MAFIKIZOLO KUSAIDIA WAHANGA WA VURUGU AFRIKA KUSINI
![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgb1MxN5Hm31azzMoT12jsUaK8ZIzn0ENXKPUKStN6pHUUJQ25f2dMVe22MlrkqtaYHJWkZMScjiDAhTHNd7F30f/NhlanhlaNciza.png)
Nhlanhla Nciza. MMOJA wa wanamuziki wanaounda Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini, Nhlanhla Nciza, ametangaza uamuzi wake wa kusaidia familia zilizokimbia makazi yao kutokana na vurugu zinazoendelea nchini humo. Vurugu zikiendelea katika Mji wa Durban, Afrika Kusini. Ni wiki ya pili sasa tangu Afrika Kusini ikumbwe na vurugu zinazoambatana na mauaji zinazosababishwa na makundi ya watu wenye silaha ambayo yanawalaumu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Aug
`Ushindani wa namba ni mkubwa Azam’ Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la m
MCHEZAJI wa Azam FC, Kelvin Friday amesema ushindani wa namba ni mkubwa katika kikosi chake, hivyo anahitaji kuonesha juhudi ili kufanya vizuri na kuingizwa katika kikosi cha kwanza.
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Afrika Kusini:Vurugu zatanda Bungeni
10 years ago
Vijimambo21 Apr
Mtanzania asimulia vurugu Afrika Kusini.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Membe-21April2015.jpg)
Joseph Moses, anayeishi mjini Durban, amesema pamoja na baadhi ya raia...
10 years ago
CloudsFM13 Feb
VURUGU ZA ZUKA BUNGENI AFRIKA KUSINI
Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF...
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Vurugu Afrika Kusini zavuka mipaka
Durban, Afrika Kusini
LICHA ya Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kulaani vurugu zinazoendelea nchini humo dhidi ya wageni (xenophobia), vurugu hizo zimezidi kupamba moto na sasa zimevuka mipaka ya nchi hiyo.
Wakati vurugu zikiendelea kwa wenyeji kuvamia na kuiba kwenye maduka ya raia wa kigeni katika hali ambayo imeonesha kama ni kulipa kisasi, raia wa Afrika Kusini wanaoishi na kufanya biashara katika nchi za Msumbiji na Zimbabwe siku nzima ya jana baadhi yao wameanza kushambuliwa.
Taarifa...
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Vurugu Afrika Kusini zadaiwa kuua Mtanzania
10 years ago
Habarileo22 Apr
Jeshi laingilia kati vurugu Afrika Kusini
KATIKA kuhakikisha vurugu dhidi ya raia wa kigeni zinakomeshwa nchini hapa, Serikali imetangaza kuwa, jeshi sasa litatumika kudhibiti ghasia zilizosababisha vifo vya watu saba, huku zaidi ya 5,000 wakitajwa kuyaacha makazi yao na kwenda kuishi katika kambi maalumu ili kuokoa maisha yao.
10 years ago
GPLVURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OJskrutNscs/VTTNifAKOfI/AAAAAAAHSFc/063zLPPj2wc/s72-c/_MG_9621.jpg)
HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...