Ni anguko la Brazil
FAINALI za Kombe la Dunia 2014 zilifikia tamati jana usiku kwa Ujerumani kuumana na Argentina, kumsaka bingwa wa 20 wa michuano hiyo iliyoasisiwa mwaka 1930 nchini Uruguay ikifanyika kila baada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Anguko la Sekondari ya Tambaza
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Zitto unajiandalia anguko
VITABU mbalimbali vya dini vinaainisha kuwa mtu anayeahidi jambo na kushindwa kulitekeleza, hupoteza imani mbele ya jamii inayomzunguka na hivyo kujishushia heshima. Kuaminika ni jambo muhimu sana katika jamii, hasa...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Ya First Lady, kufuru na anguko la Dk. slaa
“Enyi wake, watiini waume zenu, kwa maana mume ni kichwa cha mkewe….Enyi waume, wapendeni wake ze
Joseph Mihangwa
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Ngeze atabiri anguko la CCM
MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, Pius Ngeze (70) anaamini kwamba chama chake kina wakati mgumu kutokana na mambo mawili: Kwanza, upinzani umepata nguvu zaidi, pili...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Anguko la makada wa chama tawala
Salma Said, TUNAPOULIZANA sababu “hasa” za anguko la makada wakubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kura za maoni za kutafuta uteuzi wa kugombea uwakilishi na ubunge majimboni Zanzibar, muhimu kwanza tukumbushane ukweli kuwa kisiasa, CCM […]
The post Anguko la makada wa chama tawala appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Ukawa, Magufuli na anguko kuu
WAHENGA wana msemo; “mwenye nguvu mpishe, usipompisha utavunjika mbavu. Si siri Dk.
Yahya Msangi
10 years ago
Habarileo18 Aug
CC ya CCM yathibitisha anguko la mawaziri
KAMATI Kuu (CC) ya CCM jana ilikamilisha uteuzi wa wagombea ubunge katika majimbo 11 yaliyokuwa na dosari ambapo sasa wabunge wa zamani, Profesa Peter Msolla, Dk Binilith Mahenge, Dk Seif Rashid, Vita Kawawa, Gaudence Kayombo na Dk Titus Kamani wamekwama katika kutetea nafasi hiyo.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Wasomi watabiri anguko la Chadema, Ukawa
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa ya Chadema, Freeman Mbowe kukiri kupumzika kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk Willbrod Slaa, wasomi na wanachama wa chama hicho, wamedai kuwa huo ni mwanzo wa kupasuka kwa chama hicho na kusambaratika kwa umoja wa vyama vinne vya upinzani vinavyounda Ukawa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.