Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni busara kutumia fedha nyingi kwa sikukuu?

Watu wengi huwa hawajapangia matumizi ya wakati wa sikukuu tangu mwanzo wa mwaka na mwishowe hutumia fedha nyingi wakati wa sherehe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIZI WA FEDHA KWA KUTUMIA MTANDAO TISHIO DUNIANI

Jitihada za serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitaala yenye somo la ulinzi wa  mitandao. Moja ya jitihada za serikali katika kukabiliana na changamoto hiyo ni kupeleka muswada wa kutunga sheria ya uhalifu wa mtandao ya mwaka 2015  katika mkutano wa 19 wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ulipitishwa na bunge hilo. Taarifa ya waziri wa Mawasiliano , Sayansi na Teknologia , Profesa Makame Mbarawa kuhusu sheria...

 

10 years ago

Mwananchi

Haikuwa busara Rais kutumia namba ya simu ya Marekani

Serikali ya Tanzani iliwahi kutoa mwongozo wa mawasiliano yote ya wafanyakazi wa Serikali na idara zake hasa yaliyohusu baruapepe, simu na vifaa vingine vya Serikali.

 

10 years ago

StarTV

Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.

Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

9 years ago

StarTV

UKAWA ya lalamikia jeshi la Polis kutumia nguvu nyingi.

Jeshi la polisi mkoani Mwanza mapema leo limelazimika kutumia mabomu ya kuwatawanya waandamanaji waliotaka kwenda uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea Waziri mkuu mstaafu na mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasa.

Waziri mkuu mstaafu Lowasa amewasili jijini Mwanza mchana jana kwa ajili ya kujitambulisha rasmi kama mgombea urais kwa tiketi ya umoja huo.

Ulinzi uliimarishwa lakini saa chache baadae baadhi ya wakazi na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Avunja rekodi ya kutumia taa nyingi katika mti wa Krisimasi

Mwanamume mmoja kutoka Australia amevunja rekodi ya kutumia mataa mengi zaidi kwenye mti bandia wa Krismasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mabeki wa pembeni wanaolipwa fedha nyingi

Katika timu yoyote ya soka kuna nafasi nyingi wanazocheza wachezaji, wapo mabeki, viungo na washambuliaji. Mabeki ni miongoni mwa nafasi zilizopo kwenye mchezo wa soka.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanamichezo waliolipwa fedha nyingi 2014

Wanacheza na kufurahisha mamilioni ya watu duniani, lakini vilevile wanapata fedha nyingi kutokana na matangazo ya kibiashara, tuzo za fedha na ujira. Wafuatao ni wanamichezo 20 waliolipwa fedha nyingi mwaka 2014 kwa mujibu wa Jarida la Forbes la Marekani:

 

5 years ago

Michuzi

HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA

Chama cha mapinduzi wilayani Ludewa Mkoani Njombe kimesema hakitaki kutumia nguvu nyingi kuwanadi wagombea  wa nafasi ya Ubunge na udiwani, hivyo wagombea hao wanapaswa kuhakikisha wanakubalika katika jamii.

Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.

Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani